BUSARA KAMA NYOKA NA WAPOLE KAMA NJIWA
BUSARA KAMA NYOKA NA WAPOLE KAMA NJIWA
“Angalieni, mimi nawaruma kama Kondoo kati ya mbwamwitu, basi imeni na busara kama nyoka na kama watu wapole kama” Mathayo 10:16
Akasema bwana wetu alipotuma mitume wake mara ya kwanza kutangaza injil, walikuwa wanaenda kuokoa wanadamu kwa mauti. Oparesheni ya ingekuwa matabaka na sampuli ya watu mbali mbali. Wao wenyewe ange kumbana na mateso na mauti. Watu kutana na kukataliwa na upinzani kali. Hali ya kutoamini na ugumu wa moyo unge wazuia katika kila hatua. Walikuwa na mwito muhimu kutekeleza. ilimuhimu kwa mada au lengo lao wapata lazima wafaulu. Kristo aliwapatia muongozo kamili ya kuwaongoza tabia yao, na hesabu kipigwa kuwaongo wanapotekeleza wajibu wao. Tabia ya binadamu infanana kwa kila tabaka na umri, na mpango wangu wa Mungu ni ule ule. Mwongozo bila tashuishi ni njema sasa kama ulivyokuwa miaka mia nane zilizopita.
Mbona mkombozi wetu akachukua nyoka kama mfano wa busara ili kufuata mtindo huo? Lazima kuwe na sababu ya hili. Hata natoka kwenda kukomboa nafsi, kuiga mifano kama, nyoka, ila tu kwa tabia yake busara lakini kwa mtazamo anatumia, tabia ya nyoka ni ya kipekee na tena ubeba maelezo ya somo. Mbona asiambiye wajakazi wake, wawe na busara kama, Simba, Mbwa mwitu au wanyama wengine wakali?. Mbona kachagua nyoka?
Yeyeto ambaye amechukua swala hili, mtazamo yoyote litakuwa na jawabu. Nyoka anapoenda kukutana na mtu, haina haraka, tena haitishi mtu wala kutia mtu uoga kama wanyama wengine.
Inapolenga kuvamia adui, analenga kwa ustadi na uangalifu na kugonga ndipo, inateleza kwa njia ya ustadi, ili kwamba isishtue adui, na kwamba isifanye uvamizi kwa njia ya haraka bila sababu, ili ifikie adui kwa namna mzuri na ikiwezekana, inaweza kusubiri na utulivu na wakati adui anapotembea hapa na pale,yeye bado ametulia kwa lengo la uvamizi. Mwasiriwa bila kujua usonga karibu naye na kuoatikana wakati nyoka inapocamia windo lake. Kuna uwezekano mkubwa kwamba windo lake halitaponyoka. Kwa mambo hayo yote kuna busara wa kipekee kwa huyu myamba. Wakati paka au mnyama yeyote inapotegea windo, inajificha mpaka iruke na kuumiza windo, lakini mara mingi nyoka uonekana kabisa na kuvutia ambayo inamfanya kuyakua na kujua windo lake.
Mkombozi wetu anatuagiza sisi wafuasi tuiga busara wa nyoka, wanapo wapole kama njiwa, wachukui nafsi ilikuziharibu, lakini kwa kuokoa. Wakitamani kufanya kazi mwema na kuimaliza basi ni lazima wawe wenye busara. kitu au mtu huyo ndiyo wa mana na kiwango cha juu cha heshima, amabayo inaweza chukua akili za wanadamu. Kwa hivyo basi viwango vya juu vya busara lazima vitumike kwa kumaliza kazi hiyo.
Akili ya bin adamu ni ngumu sana kuongoza. Ni wa muhimu wote ambao wanao wasilisha ukweli wa Mungu mbele yao, aidha kama wahudumu, wasambazaji, au kwa mazungumzo wa kawaida lazima waelewe biashara. Ni rahisi kwa muda wa dakika wa mazungumuzo, kuwacha mambo mazuri ya kutamanika, kwa akili ambayo haingekuwa rahisi kushamishi. Majira mingi yamepatikana katika harakati ya kuemeza injili, hapo awali katika jamii na mita na vijiji kuwa tayari kweka hema, kama ilivyo nazo la kawaida. Inavyo chukua kuabisha na mjadala au barabarani au maduka au popote ambapo kunawezapatikana vikundi kwa ukweli, hata kama watu wanataka kusikiza au hapana, mpaka watu wachukizwe nap engine masikio ya yasiskiye tena. Hili si busura wa nyoka, haina mfanano naye.
Hao hawafuati mwongozo wa Petero. Wanaweza nukuu sehemu ya maagizo, lakini wanasahau au kupuuza kukumbuka. “ kuwa tayari kila wakati kuwa na jimubi kwa kila mtu, anaye uliza sababu ya tumainai amabalo lilo ndani yenu, kwa upole na uoga, tabaka wao ni nadra kungoja wao kuwapatia nafasi kuwauliza sababu ya upole na uoga wao wana kuumiza tuu.
Sheria hii kubwa ya Mkombozi nay a mtume lazima ikumbukwe na wote ambao wanao shughulika na sambaza nandali ya makaratasi.
Roho ya kiburi au kujimiminia utukufu juu wengine, kwa sababu mtazamo wa maandiko ya msimamo thabiti, kuliko yao, itawatorosha kila mara. Tunaweza kutumiya ukweli kama runu kuonyesha nguvu yetu kuu tunapo jadili, lakini haita leta watu kwa Mungu. Na kama sheria ya jumla, mpaka tutakapo anza kufikiria vingine kusikiliza na kuchukua kwa umuhimu ukweli na kuti kinach semuia kuongea pekee haita saidia kumaliza kabisa.
Tunacho hitaji ni roho wa upole na upendo wa Kristo, ambayo ni halisi na sawa na wa nguzo wa moyo, itajidhirisha peke yake kwa Yule anayesikiliza na kumwonyesha nia yetu niya kumfanyiwa mema, si ya manufaa kibinafsi na kupata ushindi juu yao. Wakati mtu anaposhawishiwa kwamba niaya yetu ni halisi na itakuwa na manufaa.
Hatustahili kuskuma nguvu ya dhehebu au ukweli ndani ya koo za wali, kama ingewezekana kufanyakilivyo haingeweza kutimiza chochote machoni wa Mungu. Anataka huduma pekee kwa anaye fanya bila kuskumwa, tukiwa na Roho huo wa upendo ambao uongelea juu. Itatupatiya mtazamo, halisi ya mabo ambayo uzungumuzwa na Mkombozi hapa juu ya taarifa hii. Kwa Busara inayotoka juu kwanza ni halisi, ina amani, mpole, ni rahisi kushughuliwa, iliyo jaa na huruma na uzuri wa matunda. Bila vurugu, na bila unafiki. “ ni busara ambayo utoka kwa chanzo kingine inayofanya watu kutosheka na upendo na ushindi binafsi, na kuongoza watu kujaa kwa kila amabo hawataki kuskia kama itawasaidia. “ Busaa wa Dunia” amabayo ukuwa kwa ubinafsi.
R745 Wise as Serpents, harmless as doves