CHAGUENI LEO NI NANI MTAKAYE MTUMIKIA
CHAGUENI LEO NI NANI MTAKAYE MTUMIKIA
Choose Ye This Day Whom You Shall Serve
“Hakuna awezaye kutumikia mabwana wawili, huwezi kutumikia Mungu na mali, mathayo 6:24”.
Wazo ambalo Bwana angelipenda kudhihirisha kwa wanafunzi wake ni ya kwamba kuna kanuni katika huduma. Hakuna awezaye kutumikia upande mbili pingamizi, au mabwana wawili wanaozozana, kwa vile atapuuza moja huku akijali mwingine kutakua na madharau pande moja na heshima pande nyingine.
Baada ya kutoa kidokezi ya kwamba hayawezekani kamwe kutumikia mabwana wawili, Bwana aliweka kwa matendo hii kanuni akasema hauwezi kutumikia mabwana wawili, Bwana aliweka kwa matendo hii kanuni akasema hauwezi kutumikia Mungu na mali, Mungu na ubinafsi, haki na uovu, pale mwanzo mwanadamu alikuwa mtumishi wa Mungu, hata ilikuwa kwake mwanadamu jambo la kiasili kukubali tabia za kiungu, na mpangilio na huduma ya hiari. Lakini mwana damu alidanganyika alipoingia chini ya utawala ya adui mkuu, aliposhawishika na nguvu za uovu, athari kuu ikiwa ni kukosa ufahamu, imani kwa ulimwengu wa giza, uchoyo.
Mojawapo wa janga kuu kwa wakati huu ni unalazimishwa kwetu, mwanadamu hujifunza kupeana wakati na ushawishi wake kwa maksudi na mradi za kibinafsi, yeye hukosa kuona kuwa ni Mungu tu ndiye anatupasa tumtumikie kwa gharama yoyote. Lakini wanadamu wamezaliwa na kuchongwa kwa dhambi, ni watumwa wa dhambi, lakini Bwana Yesu akasema kwa kumjua Yeye na kufuata masharti za kukuwa mwanafunzi, hapo ndipo kuna huru kutoka kwa utumwa, pia nafasi yakuvuka kuingia upande wa haki.
Ingawa nafasi ya kuchukua msimamo sawa ulikuwa kabla ya siku ya Bwana, hivyo ufahamu ya Mungu yalipeanwa kwa watu wote, walipata nafasi ya kujiweka upande sawa, kwa wakati ambayo agano la sharia ilipewa. Basi Mungu aliweka kanuni za haki katika sharia hiyo. Israeli wote waliweka agano na Yeye ya kwamba watakuwa waaminifu kwake. Bali baada ya kufanya haya, usawishi ya uovu ndani yao ikadhihirika, walitafuta kwa watumishi wa Mungu na tena watumishi wa mwili, wakigawa nia yao kwa mambo ya Mungu nay a kibinafsi.
MFANO BORA IMEWEKWA
Yesu aliposhughulikia swala aliambia watu katika nyakati zake, ya kwamba kamwe hayawezekani kuhudumu moyo nusu, haiwezekani nyinyi kutumikia mabwana wawili, maana siye yoyote kati yao atapendezwa. Kama ni kutumikia mali, basi tumikia mambo au vitu vya kisasa, na hapo hakuna kumpendeza Mungu, na kama ni kutumikia Mungu, haki kwa kiwango bora walichofanya kamwe hawangelipendeza ulimwengu, ni sharti wao kuamua kutimikia moja au mwingine, huduma jumla kwa wawili kamwe hayawezekani.
Mfano aliouonyesha Yesu alipokuja ulimwenguni ulikuwa sambamba hii kanuni maana alikana kamili ulimwengu na kujitolea kamili kuwa Mungu na huduma Yake.
Basi Yesu aliweka mfano, na wote wa roho sawa wanafaa kuiga hatua zake, na hii inaenda sambamba na sharia ya wayahudi, “ Nanyi mtampenda Bwana Mungu wenu na moyo wako wote, na akili yako yote na nguvu zako zote” yeyote anayeweka hii amri hawezi kutumikia mwili, maana huduma yake yote ni kwa Mungu (Marko 12:30)
Wale wote wanao fuata hatua za Kristo ni wa Mungu, ama kama wimbo husema “wote wa Yesu”, tunapofuata mfano wa Yesu, na tutembee alivyo tembea, tunapeana huduma wa moyo yoye kamili kwa Mungu. Matokeyo ya kutumikia yatakuwa na thawabu kuu. “ ni Yeye ndiye Mungu Amemuinua juu zaidi, Akampatia Jina zaidi ya majina yote’ (Wafilipi 2:9) na kanisa imealikwa kumfuata. Basi tumtumikie Mungu kwa vyovyote, mioyo yote, akili zote, nafsi yote, na nguvu yote. Hili ndilo agizo kwetu, na haya tunayofanya kwa kiwango cha kujinyima matakwa za kidunia huku tunapojitolea kwa ajili ya wapendwa (1 Johana 3:16), kwa uaminifu tukifuata hili sababu hadi mwisho tutapokea thawabu Yesu alipokea Utukufu, Heshima, Umilele (Warumi 2:7)
KUMPATIA KARISAI CHAKE
Swali ni je, maandiko yataambatana vipi na dokezi ya mtumeya kwamba ukweli ikikupata kama wewe ni mfungwa usitafute kutoka kwa kifungo chako (1Korintho 7:20-22) haya maneno ya Mtume Paulo yanadhihirisha wazo ya kuwa ukweli haubadilishi jukumu zetu za dunia kwa mfano iwapo mmoja alikuwamtumwa na ukweli wa Mungu ikamfikia, hastahili kuasi bwana wake wa ulimwengu, asidhani husiano mpya anayo na Mungu imekataa husiano yake ya utumwa na bwana wa ulimwengu, mtume humanisha mwili na sio moyo anaposema “ usitafute kufunguliwa” mwili zetu zaweza kufanywa utumwa kwa sababu moja au nyingine, inaweza kuwa kifungo moja kwa sababu moja au nyingine, inaweza kuwa ni kifungo kama ya wakati wa kale. Watumwa ama yafanyike yakawa tuko chini kutumika kwa wale wanaolipia huduma zetu, hapo basi hatufai kamwe kukiuka sharia ya Mungu hata dhamira zetu, lakini yatupasa tutumikie mabwana wa ulimwengu kwa uaminifu. Wanagharamia huduma tunazowatolea basi ni sharti tuyatoe kikamilifu kadri ya kandarisi, ikiwa wewe ni mwanajeshi au umeajiriwa kwa idara yeyote au kampuni kwa mwaminifu hudumu.
Swala hili haliwezi kuathiri hudumu wako kwa mungu kwa kuwa bwana wetu ametuagiza “ mpatie karisai vitu vya karisai” aliyemwaminifu kwa kutenda haya hutenda mapenzi ya Bwana wa Mbinguni, hakuna mzozo zinaenda sambamba, mgogoro ni wakati tu bwana wa ulimwengu anataka ukiuke amri za Mungu. Hapo nndipo afadhali tupate hasara yoyote kwa kushika sharia y Mungu na tubaki kwa dhamira sawa.
Tutazamapo yajayo, tunaona wakubwa na watawala wa kisasa wa mfumo huu watafungwa, ili asidanganye ulimmwengu tena kwa muda wa miaka elfu moja ( Ufunuo 20:2) na Mfalme mpya na Bwana mpya atakuwa ni Kristo na kanisa lake, tunajiuliza ni vipi kanuni hii itatekelezwa, jawabu kutakuwa tu na Bwana moja wa kutii, hakutakuwa na huduma kwa kanisa, wote watafahamu ya kwamba huyu pekee yake ndiye Bwana Mwenye nguvu, ufahamu wa utukufu wa Mungu, ufahamu wa upendo wa Mungu, amri yake ndiye jambo sawa vile kila mmoja sawa vile kila mmoja atajifunza na kufahamu kwa ukamilifu.
“WAOVU” KULINGANA NA MAANDIKO
Kwa maandiko shetani amedhihirishwa kama mdanganyifu wa binadamu, yeye huweka nuru badala ya giza na giza badala ya nuru (Isaya 5:20), madhumuni ya Mungu kupitia Kristo ni ya kwamba kwa miaka elfu moja ya utawala ya kimelinium, ulimwengu yote italetwa chini ya ufahamu wa Mungu wa kweli hufahamu hakika na hapatakuwa na nafasi ya udanganyifu, ulimwengu utaona haki. Ni nini na thawabu yake, na jinsi vile yapendeza, hatimaye wengi, tunavyofikiria watafurahi kumtii Bwana, ila tu ni wale wanaoashiria kuwa na tabia hiyo ataharibiwa, mtu anapokuja kujua haki na hiyo haki ikafanywa ya maana, na yanawezekana kwake, nay eye hufurahia kutenda makosa badala ya haki, wacha na akufe kifo . hili ndilo hukumu, nao watahesabiwa “ waovu” wasioweza kurekebishwa, (Ufunuo 21:8) maana ya “uovu” kulingana na maandiko ni kutenda makosa kwa maksudi, basi waovu wote wakijua ya kwamba makosa ni makosa wanalitenda kwa nia na maksudi, watakufa kifo cha pili. Basi hakuna awaye yote kamwe watastalia wazima ila ila tu ni wanao mtumikia Bwana wa ukweli. Ugumu ilikyoko na binadamu wakati huu ni kukosa ufahamu, swala ambalo Bwana Mungu hajaondoa ulimwenguni. Mungu ameruhusu kukosa fahamu na giza wakati huu ulimwenguni ili watu wajifunze utele wa kutenda dhambi na katika dhambi na hapo ndipo wawe tayari kwa somo litakalofuata, “ miungu wa dunia amewafungua macho na akili wasiweze kuamini usifanyike ya kwamba nuru ya injili tukufu ya Kristo ikawangazie (2 Wakorintho 4:4) lakini haya akili yaliyotiwa giza wataondolewa vizuizi hivi karibuni ili waweze kuona Nuru.
Basi wale waliofanyika wana wa nuru, waliompokea bwana yesu wakawa wanafunzi wake, na sasa wao huona vyema mpango na mapenzi ya Kiungu, hawa wanajukumu kubwa kuliko wale hawaja mjua Bwana. Tena tuko na matarajio kuu ya Baraka, sio tu furaha, faraja, amani na ufahamu wa kisasa lakini pia tumaini yakufanya mwito na uchaguzi wetu hakika ( 2 Peter 1:10) yakupokea urithi sawa na Bwana ( Warumi 8:17), ni wajibu wa Kristo kutoka kwa Mungu kutawanya giz, kwa sasa Mungu amehuruhusu ulimwengu kwenda njia yake, huku akipeana Mwokozi, Mkombozi ambaye ni Kristo ambaye hivi karibuni hatamiliki ulimwengu yote. Yeye atasababisha Nuru na Ukweli kuangaza ili ulimwengu ijazwe na ufahamu na Baraka, basi hapo nuru ya Ukweli inapo angaza popote, hapatakuwa na sababu yoyote kwa mtu yeyote asiweze kutembea ndani ya nuru hatimay kila mmoja ni sharti achague iwapo atatumikia Bwana au la.