KUCHUKULIA JINA LA MUNGU KWA MZAHA
[R1527] Taking the Lord's Name in Vain
KUCHUKULIA JINA LA MUNGU KWA MZAHA
“Msichukulie Jina la Mungu, Bwana wangu kwa mzaha, Bwana hatasita kuuadhibu watakao tumia Jina lake kwa mzaha”- Kutoka 20:7
Ni kweli mtume Paulo anavyoeleza (Wakolosai 2:14, Waefeso 2:15) Neno lililoandikwa la sharia ya Wayahudi ambalo lilikuwa ni kutuhukumu kwa kifo, ilifutiliwa na kafakara ya Yesu Kristo ili tusihukumiwe wale waliyo ndani yake, kwa imani kupitia kwa damu na sharia ya sherehe zote zimekalishwa na zikaondolewa (Warumi 8:1, Mathayo 5:18) hata hivyo ni kweli kwamba sharia zote za kinidhamu hazingeweza kupita na kamwe hazita, kwa sababu ni sehemu ya sharia ya haki ya milele.
Kati ya torati hapo juu, kwa ujumla zinajulikana kama sharia ya pili. “ Usichukulie kwa mzaha Jina la Mungu Baba kwa mzaha; Bwana hatosita kwachukulia hatua ya kwaadhi”. Inatuchochea, kwamba twangalie mambo ambayo Mungu anachukua kama kutumia Jina Lake kwa Mzaha. Neno ‘mzaha’ inaashiria uongo au kusudi, itaonekana kama tofauti uliowazi ya kukosa adabu na dhihaka. Kudhihaki au kutia najisi Jina la Mungu kuitumiavisivyo, uongo, matusi, kicheko.
Kwa hivyo mbaya bila ya kuuliza maswali au kutumia vibaya au kutusi Jina takatifu la Mungu wetu. Wengine ambao akili zao ni wamsimamo wa kadri, wao watachukulia kama hawana kosa.
‘Tazama,’ asema Zaburi (51:6) moyo wenyu ambao una haki ndio nataka na mtume Paulo analihimidi “ yeyote ambaye hulitaja Jina la Kristo Yesu aepukane na dhambi. (2Tim 2:19)” kwa waovu, Mungu anasema “ ni kwa sababu gani unakariri sharia zangu au mbona unaizungumza kuhusu agano langu? Na umekataa kukosolewa na hutaki sharia zangu, na ukiona mwizi umekwisha kwa rafiki yake, kila mara unajumuika na wanaofanya usinzi, kila mara uko tayari kutamka maneno maovu, uko tayari kushtaki ndugu yake mzaliwa.
Nabi Isaya (29:13) alitabiri watu kama hao na wengi wameinuka kutimiza neno lake. Mungu wetu alitumia unabi kwa wakati wake. Akisema ‘ Nyinyi wakafiri, alivyo sema Isaya.’ Watu hawa wananisifu kwa vinywa vyao lakini mioyo yao iko mbali name, wananiabudu bure, maana wanafunza sheria ya binadamu kama sheria za Mungu.
Kuona jinsi ambao Mungu anavyoangalia na kuwachukua kwa uhaki na rahisi na utiifu wa moyo wa wanao dai kuwa wakristo au watoto wa Mungu, kwa hali ya kutojali, tunaweza chukua Jina lake inayostahili kwa madai kwa utukufu watoto wa Mungu anawafuasi wa mwanawe. Tunasimama mbele ya dunia kama waakilishi na kuchukuliwa maneno yetu na matendo yetu yote zina oana na Roho Anayedumu. Tunasimama kama mabango katikati dunia wa giza bila njia ya mwelekeo, na kama hatujakuwa waaminifu kwa kazi, basi sisi ni mabango ya uongo unapotosha wanaulizia na kwenda kombo na kuanguka kwa mtego. Kuchukua Jina la Mungu halafu na kudai ni wanawe, wakristo au wafuasi wa Kristo. Bila lengo thabiti na umakinifu wa kumwakilisha kamili ni dhambi kwa Mungu.
“ Basi yeyote atamkaye Jina la Kristo aepukane na dhambi”. Kama dhambi ingekuwa tamu kwangu, Bwana angeni sikwa”, Zaburi kasema (Zaburi 66:18) kuchukua maisha ya ukristo ni kutangaza vita dhidi ya dhambi. Ingawaje nehema ya Mungu inatuzingira ndani ya Kristo, kiasi kwamba udhaifu na unyonge wetu haituzui sisi, lakini kunyang’anywa kwa Yesu inatupatia haki ambao ni takatifu na kukubaliwa na Mungu asema mtume (Roma 6:1,2) tuzidi kudumu kwa dhambi ili nehema uzidi, kwa agano yetu na Mungu tumetangazwa kufa kwa dhambi na hatuna hamu ya kuishi. Lakini baada ya kufanya agano na kutamka Jina lake takatifu, na tukizidi dhambini, tunatangaza uongo kwa utaalamu yetu.
“Sasa sisi”, ambao tumekufa kwa dhambi tuzidi kuishi? “ Mungu akataa. Tusiwache dhambi itutawale katika mwili, lakini tunajichukue tumekufa kwa dhambi, lakini tunaishi kwa Mungu, kupitia Yesu Kristo Bwana wetu ( Warumi 6: 1,2,11,12 hii ina maana kubwa, ina maana vita kila mara dhidi ya dhambi yetu ya asili ya mwili, na pambano litazidi mpaka nguvu ya dhambi limevunjwa na kwa chonjo kila, mara ndiyo itakayo mshinda. Mkristo basi ambayeni mwaminifu kwa wito, ni Yule ambaye kila siku hujikakamua ikizidisha maajabu dhidi ya dhambi kwake mwenyewe, kwa hivyo ana uwezo kila wakati, kutofautisha baadhi ya viwango vya miinuko katika mwelekeo. Anakuwa kama aliye na msimo, mnyenyekevu zaidi na mpole, mwenye nidhamu, aliye chujua, asiyekasirika haraka kwa vitu vyote, na akiwa ameshughulika na wazo ambalo lilikuwa wa Kristo Yesu. Hasira za kale na hali ya kutopenda kupotea, na wazo jipya kuingia na nguvu. Halafu kimya mfano wa Roho Mtakatifu kuashiria heshima juu ya Jina Takatifu, ni fursa kwetu kujitwika na kuwa kilishi mbele ya dunia kama waraka iliyohai, kujulikana na kusomwa na watu wote, ambao tunakumbana nao.
Muundo kama huo wakiheshima na tabia halisi ndiyo tokeo ya haki kwa upokezi wa ukweli wa juu, ndani ya wema na moyo mtiifu. Au aina ya nguvu ya juu ya mabadiliko, ni ekweli juu ya tabia, ukipokelewa kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu wa hali ya juu. “Watakase kwa ukweli Neno lako no Kweli” ilikuwa ni ombi la Bwana kwa niaba, kusiwe na mtu hata mmoja wa kuanguka mtihani wa uadilifu kama walivyo wengine, kwa kufikiria kwamba kazi ya utakaso yaweza fanya kazi bila kazi ya ukweli, tunahitaji maelezo na mwongozo ya ukweli ya kuishi maisha takatifu, na Bwana wetu ambaye anatumia ukweli wote, iliyo muhimu hadi mwisho huu, katika neno la Mungu na vile vile hatustahili kuangalia mbali kwa ufunuo kupitia ruwaza or ndoto au mafikirio ya sisi au wengine. Neno la Mungu, anasema mtume (2Timotheo 3:16,17) ni ya manufaa kwa Neno, kwa kukemea, kwa kurekebisha, kwa maagizo katika uhaki, ili mtu wa Mungu awe kamilifu kwa kazi yote yaliyo mema”.
Inatufunulia kwetu roho, wazo au fikra ya Mungu na kutusihi, tuwache fikra huo, idumu kikamilifu ndani yetu na pamoja na masomo ya akili Mungu ifunuliwe katika Neno lake na muungane pamoja na Yeye kwa maombi, tunapokea ushawishi wa Roho wake Mtakatifu, inayotuletea uiyano zaidi na zaidi na nia yake kamili. Kuishi maisha takatifu si kufanya mambo au maajabu, ni kuishi maisha ya unyenyekevu kila siku kulingana na matakwa na mapenzi ya Mungu, ushirikiano wa siri pamoja na ukaribu wa ushirikiano na kutembea na Yeye kila siku, na kuwa na hari ya mazoezi zaidi ya uwezo wetu na fursa kwa huduma. Kunayo ukweli hamba jambo kama “ imani wa ajabu” au “utiifu wa ajabu” ambayo kila mara tunasoma na tunasikia. Hakuna imani wa ajabu, lazima tuwe watafutaji. Mbona? Na wakati imani inakaa wazi lazima tujihadhari kuhusu kwa wabinafsi na hali ya matakaso ya utukufu wa bure. Au kunayo chochote cha ajabu kuhusu kuwa wazi na imani thabiti na ujasiri wa waaminifu kwa ahadi ya Mungu. Mbona tusiwe na imani ya ukweli wa kutosha na yenye nguvu?
Kristo aliye na ushuhuda wa nguvu, sababu Mungu ni moja ambaye imani yake imetosha kumpeleka kwa Neno Lake ambaye ni rahisi kumchukua pamoja na Neno lake ambaye ni rahisi kumchukua pamoja na Neno ambaye iko pamoja na huruma, ni heshima na utiifu kwa matakwa ya Mungu na kwa kusoma imani ya matakwa yake na kwa matzo binafsi ya mtu. Hitaji kama hilo haitaji Jina la Mungu kutangaza wenyewe watoto wa Mungu, na Wakristo au wafuasi wa Kristo, na kukiri na kutangaza hadharani, hivyo kwamba kujitolea kila siku kwa unyenyekevu kwa Mungu ilikuongoza na Roho Mtakatifu.
Lakini tujihadhari na makosa ambao Bwana, Zaburi anavyoelezea kama ‘ uovu” kwa mtu ambaye ulitaja Jina la Kristo kwa mzaha, anaye dai kuwa mtoto wa Mungu na kuongozwa na Roho Mtakatifu lakini matendo yao huonyesha kwamba wanachukia kukosolewa na kutupa Neno la Mungu nyuma yao. Wanaotangamana na “wezi na wanyanganyaji, wanaojitahidi kufanya watu jinsi ya kufanikiwa kwa njia nyingine bila mwekesho wa Mungu, na ambao dhamira yao ni upinzi kwa Mungu na ukweli, huku wakijidai wao wenyewe kwamba wao ni waakilishi na mabalozi, kwa hivyo basi tujihadhari hayo mambo ya keweka mtu majuto, wanao chukua “Jina la Mungu kwa mzaha. Wacha sisi sote tusikie wito wa haki na mashtaka ya Hakimu yetu Mkuu. “ ni nini mnao ya kukariri sheria zangu au kuzungumzia agano langu kwa vinywa vyenu? Na kadhalika, maneno ya maandishi inatuhakikishia kwamba watu kama hao hawatakwepa kuhukumia au wataosaidia watu kama hao kwa njia yoyote, kwa kukubali na “wezi” na kwa pamoja na “wasini kwa kweli hawata kwepa hukumu ya aliye mbinguni.
Bwana atatenga na kuweka kando watu wake, kuna hayo mambo, na hawata kuwa na ushirika au usaidizi kwa vivyo vile. Yeye si wenyewe na hamsaidi kwa mambo mazuri, au hatawatia moyo kama watu wakuitwa na Jina lake, na kukutanika na watu wake kwa maombi na ibada, ama kusimama kama mabalozi wake wa ukweli. Njia moja mwafaka kwa mambo hayo ni kufuatiliwa, kurudia kazi ya kwanza, kutubu na kubadilika kwa unyenyekevu kwa Mungu na kutii amri zake.
Na tukifikiri kwa umakini, neno la kuchukua Jina la Mungu kwa mzaha, tunazidiwa na mafikirio ya wangapi wanaoifanya. Wachache kweli wanatia maagizo moyo na bado wanasita bila adhari, halaiki wanachukua Jina la Mungu na Kristo kwa mzaha, wengine hufanya hivo kwa haraka kwa sababu ni tamaduni na baadhi ya watu waheshimiwa kwa sababu Jina Kristo ni cheti cha kusafiri (paspoti) ya thamani ya jamii na maisha ya bishara. Wengine wanachukulia kama chombo cha kueneza mafundisho ya uongo inafionza mambo ya msingi, na kukana uwepo wa Mungu na kutafuta kudunisha mambo ya ushahidi ya wazo letu, kama ya uwepo wa kibinadamu. Na neno ambalo ni la mafundisho ya uongo na ambayo haijalindwa chini Jina la Kristo.
“kuchukuliwa kwa mzaha?” wananiabudu kwa mzaha “kufunza mafunzo ya amri ya binadamu” (Mathayo 15:9) kwa hivyo wote waliitayo Jina la Mungu waepukane na dhambi na kutia moyo yao kwa maagizo. Na kwa ukweli wataongozwa na Mungu kwa malisho ya majani mabichi na maji matulivu, meza yao yatajaa na kufura, na vikombe vyao na mibaraka na furaha na tabasamu zita jaa, huku ghadhabu za Mungu kwa muda utafunuliwa dhidi ya wote ambao wanalihimidi Jina lake kwa mzaha, hata hivyo wanaweza jumuika pamoja na hata hivyo, wanaweza tangaza hadharani kwa sauti ya juu kama wajumbe wateule.
“ Si yangu binafsi, muda yangu, talanta yangu, bure kwa Kristo naileta. Kutumiwa kwa huduma na furaha kwa utukufu wa Bwana wangu.