KURUDI KWA BWANA WETU NA HASILI YAKE UREKEBISHO YA KILA KITU

KURUDI YA PILI MWENYEWE NA MILLENIUM NA UHUSIANO YAKE KUCHAGUA KANISA KUBADILISHA ULIMWENGU KUCHAGUA NEEMA WAFUNGWA WA TUMAINI. USHUHUDA YA UNABII KUHUSU MAREKEBISHO – KUREJEA KWA BWANA WETU.
NA KULETA MATUMAINI KWA KANISA NA DUNIANI.
Na atatuma Yesu Kristo, Ambaye(huyo) kabla alihubiriwa kwako wewe, ambaye bingu zitamshikilia mpaka wakati wa marekebisho ya kila kitu ndio Mungu alinena kwa kinyua ya manabii wake katoka wote tangu mwanzo (Mnd 3:20,21)
Bwana wetu alitamani wanafunzi waelewe kwa sababu ama kwa tabia, na kwa wakati kuwa atarudi tena. Kama kutarejelea na kukubali na kuamini kwa ufahamu ya maandiko. Kweli Yesu alisema “Lo niko nanyi siku zote mpaka mwisho wa nyakati(mathayo 28:20) na kwa Roho wake amekuwa na kanisa mfululizo, kutunza kuelekeza, kufariji na kustawisha wateule na kushangilia katikati ya madhara. Lakini kanisa imebarikiwa na isia na hekima ya Mungu na katika njia zake na utunjazi ulio dhabiti na upendo alionuia katika haadi kua kurudi kwake aliposema “nikienda japo nitaridi tena” (yohana 14;3) hapo aliashiria mwenye kurudi kwa pili.
wengine walifikiri aliashiria kupaa kwa roho mtakatifu wakati wa pentacosta, wengine kuaribiwa kwa Yerusalemu na kadhaliika. Lakini kwa uhakika ni kitabu ya muisho ya bibilia, ambayo liliandikwa mwaka wa sitini baada ya pentacosta na miaka thelathini na sita baada ya Yelusalemu kuaribiwa. Yeye aliyekufa na kufufuka alinena matukio ya baadaye yajao akisema “naja upesi na hujira mkononi” na alieyeinuliwa Yohana akajibu njoo Bwana Yesu (ufunuo 22:12,20) wengi husema wakati wa watenda dhabi wanapo badilika ni njia moja wapo ya kurudi kwa yesu Kristo na basi ataendelea kuja mpaka ulimwengu wote wabadilishwe. Basi wanasema wao, sasa ameshaa kuja kamili.
Hapo wanasahau ushuhuda wa maandiko kua fundisho ambayo ina tangaza kurejeshwa kwa matumaini yao kwa wakati ya Bwana yetu kurudi ya pili. Ulimwengu itakuwa mbali kwa kubadilishwa kwa Mungu; “nyakati za mwisho maovu yatakuja , wanadamu wote watapenda raha kuliko kupenda Mungu.” (2tim 3:1-4) watu waovu na wanajishi watafanya mabaya wakidanganya na kudanganyika (sura 13) watamsahao mkuu, hii ni onyo kamili kwa kundi ndogo “jiadhari nafsi yako kwa nyakati hizi za mwisho. Kwani itakuja pasipo wewe kujua kwani kilio inakuja kwa dunia yote (luke 21:34,35) nasi tuteomboleza kwa ajili yake watakapoona.(ufunuo1:7) akuna marudio ya kubadilisha wenye dhabiti. Kila mwanadamu anahuzunuika kwa kubadilishwa kwa wenye dhambi? Kama tunavyotazama katika mafundisho hayo sio wote watakao furahia kurudi kwa Kristo duniani. Vivyo hivyo watakavyo watafanya watakavyo taka.
Wengine wanatarajia kuja na uwepo wa Bwana, lakini wametenga wakati ambayo jambo itafanyika wakidai kwamba kupitia juhudi ya kanisa na jinsi kanisa lilivyo dunia lazina kubadilishwa na kwa muda huu wa millennium inapoziduliwa.
Wanadai kuwa wakati dunia inabadilishwa, shetani naye atakuwa amefungwa na hekima ya Mungu kujaa dunia yote. Mataifa hayatajifunza vita tena na kazi ya kanisa hapo itakuwa imefika tamati. Itakuwa imekamilisha jukumu ngumu ililojukumiwa. Bwana atakuja kuchukua mamlaka yote ya dunia. Kuwalipa waaminio na kuwahukumu walio waovu.
Vifungo ikichukuliwa huwa inahurumia ama lakini neno la bwana ijapowekwa wazi tunatambua kuwa hakuna huruma kamwe kwa sababu iko kinyume kabisa: bwana atakuja kabla ya kubadilishwa kwa dunia kanisa itajaribiwa na malipo inaloahidiwa ni kwamba watakaoshinda baada ya kupata utukufu watagawa pamoja na bwana Yesu ufalme, ambayo ni njia ya Mungu kuletea Baraka kwa dunia na kusababisha hekima ya Mungu kuingia kwa kila kiumbe kama vile bwana aliahidi: “kwa wale watakaoshinda nitawafanya waketi pamoja nami katika kiti cha enzi;(ufunuo 3:21) wataka na kutawala pamoja na Kristo miaka elfu (ufunuo 20:4)
Kuna mafungu mawili ambayo huzingatiwa na watu sana. Wakidai kuwa bwana hawezi kurudi hadi baada ya millennium ambapo kila mmoja atasikia mwaliko (mwito) moja hii injili ya ufalme itahubiliwa kwa ulimwengu wote na hushuhuda kwa mataifa ndipo mwisho uje(mathayo 24:14) wanadai kuna marudio ya kurejesho kabla ya mwisho ya nyakati ya injili lakini kutangaza injili kwa dunia haileti maana yeyote kwa kurejeshwa kwa dunia . maaandishi haisemi chochote kuhusu hushunda itakapo pokelewa na kutangazwa tayari imepeyenwa mwaka 1861 katika ripoti ya Bible societies. Kwamba injili imeshachapishwa kwa kila lugha ya duniani licha ya hayo mamilioni ya dunia haijaipokea hata nusu ya milioni mia sita haijasikia jina la Yesu. Nayo hatua ya maandishi yatimia. Injili imehibiriwa kwa ulimwengu wote na kutangazwa kwa kila taifa.
Mtume( Mnd15:14) inatueleza kuwa jambo kuu katika nyakati ya injili, kwa wakati huu ni “kutoa watu.” Kupitia jina la kristo kanisa litakalo shinda wakati wa kurudi kwake watakuwa pamoja na kupokea jina lake.
Kutangaza neno ni jambo la pili maandiko mengine yanasema “kaa wewe katika mkono wangu wa kuume” mpaka nitakapotiisha maadui wako chini ya miguu yangu (zaburi 110:1). Hakika hii wazo kuhusiana na maandiko hayo yanaonyesha kuwa Kristo ameketi katika kiti kilichoundwa na mikono mahali huko mbinguni. Ili kazi iliojumlika watu ikamilike kupitia kanisa kisha yeye anakuja kutawala.
Hii ni kutokoma, ufalme wa Mungu inayosemwa haifanani na ya asili, lakini ni yahuungu mamlaka na utawala ya bwana Yesu ilioinuliwa na kugawana mamlaka. Bwana Mungu amemuinua Yesu na kumpa jina kuu kuliko majina yote. Ni kumpa mamlaka kupita yeyote Yule karibu na Baba.
Ikiwa Kristo anaketi katika kiti kilichoundwa kwa mikono mpaka maadui wakewawekwe chini ya miguu yake (yote duni). Basi mambo yote lazima yadunishwe ili yeye alejee (lakini mkono wa kuume) sio sehemu maalum kama vile maandiko hayo yanavyosimulia. Sio mahali wala kiti wakati tunapoangazia mamlaka, nguvu, na utawala. Inaonyesha kuwa maandiko hayapingani na maandiko mengine. Yatufundisha kuwa anakuja kurudisha kila kitu kwake (wafilipi 3:21)
Kwa mamlaka na nguvu aliyopewa kwa kutofafanua mtawala William ako katika kiti Ugerumani twasema kwamba hatuelekezi mawazo kwa ufalme kwa hakika. Yeye yuko katika kiti cha utawala Ujerumani. Mkono wa kuume yaonyesha sehemu rasmi, mahali pazuri karibu na mtawala mkuu.
Basi mfalme Bismarck aliinuliwa na anaketi kwa mkono wa kuume ya mamlaka ya utawala ya Ujerumani na Yusufu kwa ufalme ya misri. Baada ya mambo ya asili yesu alinukuliwa vibaya na mfalme caiyafa akisema mwana wa adamu ataketi kwa mkono wa kuume ya utawala na atakuja na mawingu kutoka mbuguni(matt26:64) atakuwa kwa mkono wa kuume anapokuja kutoka mawinguni na ataketi kwa mkono wa kuuume nyakati ya millennium milele.
Mitihani ya Mungu kwa ufunuo ya mipango yake kwa mambo yanaonekana ya kwanza naya pili katika kurudi. Yafaa kukumbuka kuwa yote yako sawiya kwa mipango. Kuaza kamili ya kurejea na kukomboa mwanadamu naya pili ni urejesho na kubariki na kupangilia waliokombolewa. Akiwa anapeana maisha yake kwa wote akiwa mwokozi alipaa na kutualikisha mbele ya baba. Kuleta upatanisho ya mwanadamu na baba, na kuondoa maovu ya kuwatenga na huyo “mtawala wa dunia”anendelee kutawala katika uovu mpaka wakati kuchaguliwa kwa “bi arusi na bwana arusi” watakao onekana wanafaa kwa heshima watashinda uzushi ya maovu ya ulimwengu. Kisha kazi ya kupea mwanadamu Baraka itakuwa salama. Na dhabibu yake itakuja mbele kubariki familia yote ya dunia.
Kweli kurejeshwa na Baraka itakuja pamoja baada ya deni ya mwanakondoo kulipwa, na mkombozi, na kisha kurudi kwake Messiah itakuwa imekamilika na hapo ndipo kutawala na Baraka itaanza mara moja. Kama vile mutume mwanzo alivyotarajia(Mnd1:6)
Lakini Mungu alitupea vitu vizuri kwetu sisi – kanisa la kikristo(wahibrania 11:40) ni faida yetu kwamba utawala wa kristo ni kando kabisa na kuteseka kwa kichwa katika karne ya kumi na tisa. Majira ya kwanza naya pili ya kurudi kwa mwana kondoo na Baraka kwa wote ni kujaribiwa kwa kanisa ambayo ni mwili wa kristo. Ata hivyo itakuwa na kurudi mara moja tu na kazi itakayo fanyika kwa muda huo ya kurudi kwa pili wakati wa millineum ingefuatwa na kufufuka kwa yesu kristo. Badala ya kusema hayo, kazi ya kurudi kwa pili ingefuatwa mara moja na kazi ya kwanza, wacha tuseme hivyo Jehova hakuchukua jukumu ya “kuchagua kundi ndogo” ni mwili wa kristo. Kurudi kwa kwanza haingechukua nafasi kama ilivyofanya, lakini ingetukia wakati wa kurudi kwa pili hapo kungekua waka sio moja, maana hapo Mungu aliweka hakikisho kubaini ruhusa ya maovu kwa miaka elfu sita. Basi hapo pia patakua na kusafishwa kwa wote na kukamilishwa wakati wa miaka elfu sita.
J.E. (pgs 90-93)