MAANA MKITENDA HAYO MAMBO
MAANA MKITENDA HAYO MAMBO
R2154 If You Do These Things
“Maana mkitenda hayo mambo, hamtajikwa kamwe, maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu, mwokozi wetu Yesu Kristo.(2Petero 1:10-11)
Taarifa hii ya Mtume Petero, inaashiriya mambo mingi ya muhimu ya kutafakariwa.
(Wafeso 2:7) hata hivyo, kama hayo “ kwetu sis kuna upewo zaidi na ahadi ya dhamani, ili kwamba kupitiya hii tunaweza kuwa waridhi pamoja, ya upewo wa juu, baada ya kuhepa unafiki uliyoko duniani kwa njia ya tamaa ya kimwili, kwa njia ya raha za dunia, “ tamaa ya kimwili, tama ya macho na majivuno ya maisha.
(2 Petero 1:4, 1 Yohana 2:16) Huu upeo wa juu na ahadi ya thamani, inalenga kuchukua moja wapo wa ukuu wa dunia yote kama wanawe na waridhi, kama na waridhi pamoja mwana wake wa kipekee, waridhi wa kila kitu, watakua pamoja naye popote alipo na kuwa na utukufu wake, na watauondowa huu mwili na kama yeye ambayo ni sura ya baba moja kwa moja watavishwa na mwili usiooza kwa hivyo basi watakwa pamoja naye (Bwana) milele na kumwona jinsi alivyop kwa sababu watakuwa kama yeye, Baada ya Kushinda Dunia, watakaa pamoja naye katika ufalme hata naye baada ya kushinda na kuketi pamoja Babake katika ufalme (Ufunuo 3:21)
“Msiogope wanakondoo wachanga,”asema bwana harusi mtarajiwa wa Kanisa kwa maana ni fursa mzuri ya Baba kuwapalia ufalme,” kwa sababu baba mwenyewe anakupenda maana ananipenda mimi na kuamini kwamba nilitoka kwa Mungu. Au kupeyana ufalme kwa wapendwa akiwana na washati, Petero anasema “ Kuingia katika ufalme wa milele wa bwana wetu, kwa miayo mkungunjufu, kuta kuwa na makaribisho kabambe, salamu ya furaha, sherehe spesheli, kwa wenyeji wote wa mbinguni, wakati heshima na taadhima ya ushindi watapo vikwa taji juu ya vichwa vyao wote waliyo shinda vita vya msalaba, mashujaa hodari walio piga vita vilivyo vizuri walio linda imani kipigana vita dhidi ya Dunia, mwili na uovu na kukamilisha mwendo kwa uaminifu hadi Kifo.
Ukunjufu wa nehema na utukufu ni uwezekana wa uridhi mpaka kwa wateule wadhaifu ambao hawajiani tu kwa uwezo wao kufanya wito na uchaguzi sawa, kwa unyenyeku huwatazamia Mungu kwa nguvu ya kila siku ilikujikaka kama mwana vita hodari. Kama mtu atajaribu kufanya hivi kwa nguvu zake ataanguka kwa ukweli, lazima ataanguka kwa kukumu kali ambayo kila mtu atajaribiwa, utaeleza wazi wazi zaidi kwa akili ya kimwili, lakini Mungu anaefanya kwa Kubariki, atakusudi na kufanya nia yake njema atazingira na kuenda ambao hutegemea nehema yake na mwana zaburi wanaweza sema “Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu kwa msaada wako nafuatia Jeshi, kwa msaada wa Mungu wangu naruka ukutai, na Paulo “ Naweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu (Zaburi 18:32-29, Wafilipi 4:13)
Lakini si imani Kristo ambayo inatosha kwa wokovu bila kufanya chochote? Kwa hii maandiko yanatoya jibu wazi wazi kwamba imani ya Kristo itatuokowa katika dhambi zetu, tunapozidi kwa kupenda dhambi na kufanya kazi za dhambi- ni imani potovu kwa Kristo hakuwai pendekeza uokovu, kutuokoa katika dhambi zetu bali kwa dhambi zetu (Mathayo 1:21) lakini Mungu ni mwaminifu na haki kwa kusamehe dhambi na kututakaza kutoka kwa mambo yote, ambayo si takatifu (1John 1:9) waliomkujia kupitia Kristo, kwa imani kwa umwagikaji wa damu (maisha ya kafara) kama utoshelezi wa dhambi zetu na nguvu yake ya mwosho yeye asemaye, nimemjua, wala hazishihi amri zake ni mwongo wala kweli haimo ndani yake” asema mtume Yohana, “ Kweli haimo ndani yake (1 Yohana 2:4) kwa hivyo mtu Paulo anahimiza waumini akisema “ mtimizeni wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka; kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake njema (Wafilipi 2;12-13).
Ilikuwa ni Mungu aliye tupatia ukombozi katika Yesu Kristo na ni Mungu ambaye ametuvuta kwake na akatuahidi sisi sote nehema ambayo tunahitaji ilituenda kati injia ya haki, na zaidi tufuate katika njia ya nyayo ya Yesu Kristo katika hali ya kujinyima ya kibinafsi. Nayo tujapo katika hali ya uoga na kutetemeka- kwa uangalifu ua juu, tunajitahidi kulinda wokovu ni fursa yetu kila mara kutambua nehema kutusaida katika kahitaji (Wahibrania 4:16) na tuwe wajasiri kwamba bidii kwa utakatifu yanakubalika kwa Mungu ikiwasilishwa kupitia kiwango cha utakatifu wa Kristo ambayo tumepewa kwa imani.
Kuwa ni hii kiwango, baada ya kuhepa unafiki uliyo duniani kupitia tamaa- kupitia tamaa ya kimwili – baada ya imani ambayo tumeandaliwa na pia ahadi kuu ujao na ahadi ya hamani, na kuwa washirikishi wa upeo takatifu wa juu na waradhi pamoja na Kristo na ufalme na utukufu, na kuwa na hari kufanya wito wetu na uteuzi wa haki basi wacha sisi ambao tuna uraibu kwa imani ambayo ikichukuliwa na kuendelea kupaliliwa ni hakikisho kwamba hatuwezi kosa kuingia katika ufalme ambayo itapeyanua.
Maongezo kwanza- utunjema) ni mgome au nguzu ya tabia ndani ya utukufu hii inaashiria upaliliaji wa uadilifu wa juu katika shughuli zetu, tukiwa na Mungu au wanadamu wenetu- utiifu, haki na ukweli ndizo viwango, mwana Saburi anaeleza wazi kwamba “ ni mtu aandaye kwa ukamilifu, na kutenda haki, asemaye kweli kwa moyo wake, asiyesingizia kwa ulimi wake wal kuntenda mwenziwe mabaya, wala kumsengenya jirani yake, machoni oake mtu asiyefaa hudharauliwa, bali huwaheshimu wamchao Bwana ingawa ameapa kwa hasara yake apate kula riba. Hakutwaa rushwa amwangamize asiye na hatia, mtu atendaye mambo hayo hataondoshwa milele ( Zaburi 15) kama huyu ni mtu mtiifu mtu wa maadili na tabia njema.
Maongezo ya pili- ni ufahamu-ufahamu wa Mungu na nia yake takatifu kutuhusu unadhihirishwa kupia neno lake kwa rorho mtakatifu. Upuuzi wa upeo huu wa juu wa ufahamu ni sawa sawa na kuunda viwango vyako dhaifu wa utakatifu na kupuuza viwango vitakatifu. Kwa hivyo ni muhimu tutiliye maanani mafunzo ya utakatifu wa juu ilituweze kuzingirwa kwa imani na kazi ipasavyo.
Maongezo ya tatu- kiasi ni moja wapo wa tabia muhimu, “ Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa ( Mithali 16:32) ndiyo wosia ya wenye busara, na generali wa shindig, bado ajajifunza kushinda na kujidhibiditi, kujidhibiti ni tabia amabalo ujumlisha fikra, hamu, kionjo, raha, huzuni na tumaina. Upaliliaji wa basi ina maana ya tabia endelevu wa juu, kujidhibiti pamoja na imani na wema maashiria hama kubwa na mazoezi ya vitu vya takatifu na uongezo wa kadri ya vitu vya dunia, kwa hukumu, kwa mwenenda, kwa udhibiti wa mambo ya hasira, na kadhalika, “ basi wacha upole wenu uonekane na wetu wote. (Wafilipi 4:5).
Maongezo ya nne – Saburi, wakati ni muhimu katika mcahakato wa kuwa kamilifu kwa kila jambo mzuri. Tuna ambalo limechunua kwa haraka ni mbichi, ngumu, kali, chungu, wakati sawa na kuuchuna matawi, kulia mbolea na kulima na mvua na jua ni muhimu kwa hatua ya kuiva na uzuri wa matunda mema ya kupendeza kwa ladha. Pia kwa uzalishaji wa mpango na kusudi la masomo na nehema. Mpango wa ndani wa Mungu, hufanya kazi pole pole sit u kwa Serikali yake kuu ya dunia, lakini pia kwa myoyo na fikira ya busara ya viumbe. Mungu ufanya vitu vyote kulingana na makusudi kuufuata laina ya sheria yake ambayo haipotoki ya sheria busara na utakatifu.- kimwili, uwema na maarifa. Kutokuwa na Saburi au uvumilivu kwa kila jambo ujinga kwa kusisitiza kwamba tunda lisilo iva, haraka, chungu, kali katika utunzi wa matunda, ambayo kwamba Mungu atayodhibitisha, itakuwa ya maradhi ya hukumu kwa kutokuwa na Subira ambayo inatakikana. “ Saburi na iwe na kazi kamilifu” ( Yacobo 1:4) Subira wakati wa Mungu “ Ukae kimya mbele za Bwana” Zaburi 37:7) Saburi wakati wa bwana na njia kwa kiashiriya ya kila nia na katika kesi, tukizingatia sisi wenyewe na wengine. “ wanaomtegemea, hawata aibiba”
Imani, wema na maarifa zinanaanda watu Mungu kwa Saburi kwa kila kazi mwema, atahivyo unyonge- Saburi na wale masikina, waliyo tima upovu wwa kidumia na utoto katika Kristo kwa upole na ujinga, uchangamfu na kufanya kosa na kuwa na kujiamini sana Mapetero na matomasi wa mashaka. Lakini kuwa na Saburi au kwa ushirika na hali ya kutozaa matunda ya kazi za giza na dhambi ni upotevu wa nehema, kwa hayo panapo patikana lazima zikemewe na kukosolewa kwa haraka kulingana na nia yao potovu, kwa Saburi, hata hivyo kuelekeza kwa toba ya mpotevu, na kila mara kwa upole.
Inaonekana kwmaba Bwana atazamia kutoa onyo ya mbele kwa watu wake ambao wanahitaji Saburi kwa “mavunio” au mwisho wa huu wakati, Saburi kwa mapambano dhidi ya uovu na kusubiri wakati wa Bwana na mtindo na taratibu ya kukosoa yale mabaya “Dunia ya sasa ya uovu” dunia masikini, unao kosa amani, wema maarifa ya mpango takatifu wa juu na Saburi itakuwa wazi kwa uvamizi wa siku ujao. Neno la bwana kwa watu wake ni “ maana mnahitaji Saburi” Waibrania 10:36
Maongeo ya tano – ni utauwa, utauwa, huruma, kujitolea, kudhibiti tabia kwa Mungu anayezalisha uchangamfu, pendo kabambe kutoka kwa moyo wake, kwa nia yake – kwa mbubujiko war oho wa kuhudumia Bwana. Hii maendeleo ya baadaye na kiungo muhimu ya tabia ya Ukristo. Huruma utauwa, chemmi chemi ya kububujika kutoka kwa moyo wa shukrani na ahsante ambao upendo wake uko kwa sheria ya bwana kwa kutafakari, juu ya sheria na ahadi zake na ushirika wa siri na Mungu kwa maombi na sifa upendo,vitu vya uchangamfu lazima zitokane katika maisha ya ndani kama hiyo, kupitia kwa ujawa wa moyo, kinywa utamke na mwili mzima kwa haraka upata uhai kwa wale ambayo wanaimani iliyo hai pekee, na wanazingatia matendo yao dhidi uovu na kukuwa kwa maarifa, kuvumilia na Saburi wanaondaliwa kushukuru ukuu wa matendo tukufu; wao pekee ndiyo wanatiwa nguvu ya ukweli kwa shauku ya utauwa.
Maongezo ya sita – ukarimu, upendo, kiunganisho kamili, ambao utuunganisha nehema yote na kwa jina ambalo hulismamia kwa hayo yote.
Upendo wa Mungu silo dhihirisho kamili ya nehema, wala kunaweza, kulingana na fundisho ya neno la Mungu. Upendo wa ukweli Mungu, bila ya kuambata na upendo wabiria damu; “ mtu akisema, nampenda Mungu” asema mtume Yohana naije anamchukia ndugu yake ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake, ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona!
(Yohana 4:20) na Yesu akasema “hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo nyinyi kwa nyinyi. ( Yohana 13:35)
Ni kwa uwepo wa hizi matendo ya nehema kuongezwa na imani yetu kwa Kristo Mkombozi na mwokozi kwamba tunahakikishiwa kuwa nafsi haianguki “ nanyi mkiyafanya mambo ya haya hamtaanguka’ mwandamo haiku kwa kufanya mambo haya kikamilifu, ijapo utakatifu wa Kristo kuufurika dhambi zetu na kufidia kwa udhaifu wetu wa kila siku, lakini ikiongezwa kwa imani yetu kwa upeo wa utakatifu wa Kristo, tumeupalilia hayo yote nehema, kiasi kwamba kwa uwezo wetu hatuanguki, tukishafanya mambo hayo kadri ya uwezo wetu.
Sisi lakini kwa nguo teule ambayo ni imani yetu kwa Kristo, tunapojikkakamua” uadilifu” tunaulinda wokovu wetu kwa uoga na kutetemeka, tukijua kwamba utukufu wa Kristo inatumika tu kwa shauku ya kuacha dhambi na kutafuta huo utakatigu ambao hapana mtu atakayemwona Bwana’ Waebrania 12:14

- Inaonyesha uwezakano kwa kundi la walengwa “maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu, Mwokozi wetu Yesu Kristo. Hii ndiyo gharama ya juu ya wateule wanaoshinda injili ya nyakati, kweli tukiangaliya utukufu ujao, imani inaweza yumba kwa ahadi . kwa wadhaifu na wasiokamilifu ijapotunakuwa, Mungu ana haidi kwa nyakati ujao, kuonyesha kujuwa na nehema ya ukarimu kwetu sisi kupitia Kristo Yesu.
(Wafeso 2:7) hata hivyo, kama hayo “ kwetu sis kuna upewo zaidi na ahadi ya dhamani, ili kwamba kupitiya hii tunaweza kuwa waridhi pamoja, ya upewo wa juu, baada ya kuhepa unafiki uliyoko duniani kwa njia ya tamaa ya kimwili, kwa njia ya raha za dunia, “ tamaa ya kimwili, tama ya macho na majivuno ya maisha.
(2 Petero 1:4, 1 Yohana 2:16) Huu upeo wa juu na ahadi ya thamani, inalenga kuchukua moja wapo wa ukuu wa dunia yote kama wanawe na waridhi, kama na waridhi pamoja mwana wake wa kipekee, waridhi wa kila kitu, watakua pamoja naye popote alipo na kuwa na utukufu wake, na watauondowa huu mwili na kama yeye ambayo ni sura ya baba moja kwa moja watavishwa na mwili usiooza kwa hivyo basi watakwa pamoja naye (Bwana) milele na kumwona jinsi alivyop kwa sababu watakuwa kama yeye, Baada ya Kushinda Dunia, watakaa pamoja naye katika ufalme hata naye baada ya kushinda na kuketi pamoja Babake katika ufalme (Ufunuo 3:21)
“Msiogope wanakondoo wachanga,”asema bwana harusi mtarajiwa wa Kanisa kwa maana ni fursa mzuri ya Baba kuwapalia ufalme,” kwa sababu baba mwenyewe anakupenda maana ananipenda mimi na kuamini kwamba nilitoka kwa Mungu. Au kupeyana ufalme kwa wapendwa akiwana na washati, Petero anasema “ Kuingia katika ufalme wa milele wa bwana wetu, kwa miayo mkungunjufu, kuta kuwa na makaribisho kabambe, salamu ya furaha, sherehe spesheli, kwa wenyeji wote wa mbinguni, wakati heshima na taadhima ya ushindi watapo vikwa taji juu ya vichwa vyao wote waliyo shinda vita vya msalaba, mashujaa hodari walio piga vita vilivyo vizuri walio linda imani kipigana vita dhidi ya Dunia, mwili na uovu na kukamilisha mwendo kwa uaminifu hadi Kifo.
Ukunjufu wa nehema na utukufu ni uwezekana wa uridhi mpaka kwa wateule wadhaifu ambao hawajiani tu kwa uwezo wao kufanya wito na uchaguzi sawa, kwa unyenyeku huwatazamia Mungu kwa nguvu ya kila siku ilikujikaka kama mwana vita hodari. Kama mtu atajaribu kufanya hivi kwa nguvu zake ataanguka kwa ukweli, lazima ataanguka kwa kukumu kali ambayo kila mtu atajaribiwa, utaeleza wazi wazi zaidi kwa akili ya kimwili, lakini Mungu anaefanya kwa Kubariki, atakusudi na kufanya nia yake njema atazingira na kuenda ambao hutegemea nehema yake na mwana zaburi wanaweza sema “Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu kwa msaada wako nafuatia Jeshi, kwa msaada wa Mungu wangu naruka ukutai, na Paulo “ Naweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu (Zaburi 18:32-29, Wafilipi 4:13)
- Na tusiogope kwa kushikilia hili ahadi ya dhamani na upeo kuu wakati tumehakikishiwa kwamba yeye aliyeanza kazi njema moyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu, tusipomwachiliwa (Wafilipi 1:6) huu ndiyo ushindi, ushindayo dunia, hata imani yako, si imani yetu, hatuwezi amini mwili maskini wanyonge na mwili unaodhoofika haiwezi kutupatia suluhu ya ujasiri kwa uwezo ya jukumu kuu ya wanajeshi wa msalaba, lazima tuvute busara na nguvu kutoka juu, hazipo katika ilatu kwa upeo wa Roho wa Mungu.
- Tena tunaona maneno ya Petro uliojawa na mahimizo kuashiria uwezekano wa uridhi wa utukufu kwa wote walio itua, tena pia kuna uwezekano wa kuanguka au kufeli kuingia ndani yake. Kunayo iwapo kutakuwa na mbinu ambao kwamba kutakuwa na kipimo cha hukumu ya juu, kama ulivokuwa uwezo au si uwezo wa uridhi lazima irudi. Ni kwa mtazamo huu wa mbinu ambao Paulo anahimiza wote aliyoitwa wawe katika akili sawa, kwa uangalifu wa akisema “anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke” (1Wakorintho 10:12) na tena “ Basi ikiwa katika ahadi ua kuingia katika raha yake, na tuogope mmoja wenu asije akaonekana ameikosa. (Waibrania 4:1) haitoshi kwa hivyo tumejitawaza sisi wenyewe kwa Mungu kama dhabiu yaliyo hai na kwamba tumefanya agano. Kufuata nyayo ya Yesu, kwa utakaso na agano na ahadi, haita saidia kama hatutakuwa waminifu kwalo. Ila tu kuinuka juu yetu kwa hukumu. Wewe ukimwekea mwingu nadhiri usikawie kuiondoa “ Mhubiri 5:4-5, Kumbukumbu 23:21-23; Mithali 20;25, Wabrania 10:38-39) Zaburi 15, Luka 9:62) Yohana 15:6, Matendo ya Mitume 5:4-5.
- Mtazamo wetu unalenga kinachoelezwa kama mbinu mkitenda mambo haya nini hii? Kiashirio ni mambo ambayo yametajwa katika aya ifuatayo, mkijitahidi sana kama upande wenu katika imani yenu tieni wema katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi na katika kiasi chenu Saburi, na katika Saburi yenu utauwa wenu na katika utauwa wenu upendano, katika upendano wa ndugu na katika upendano wa ndungu, upendano wa ndugu upendo.