MAJARIBU YA KIPEKEE KWA KIUMBE KIPYA
MAJARIBU YA KIPEKEE KWA KIUMBE KIPYA
“Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mamba yetu ya udhaifu, basi yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila funya dhambi. Basi tukikaribie kati cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji- “Waebrania 4:15,16
Katika kazi yake, kama tunavyoelezwa katika Waraka, mtume Paulo ameongoza wanaosoma nyaraka zake hadi hatua ya shukrani, kwamba ingawaje bwana Yesu hakuwa Mkuhani kulingan na mpanho ya wayahudi, kwa kuwa yeye si mwana chama wa kabila ya walawi, hata hivyo alikuwa kuhani kulingana na mpango maalum wa uteuzi kutoka juu. Aliingia katika ofisi yake ya ukuhani wakati wake wa kuchukuliwa na kupakwa na Roho mtakatifu, aliyopokea wakati wake akibatizwa na Yohana. Kazi yakwe kama kuhani mkuu bado inaendelea, na haita kamilika hadi kukaribia kwa utawala wake wa miaka elfu moja. Sasa yeye ni mkuhari aliye juu sana, katika upeo wa juu. Ingawa wakati wake wa kufufuka, alikuja kuwa, mkuu, na kuinuliwa juu kuliko wanadamu, hata hivyo huyu kuhani mkuu, juu sana kuliko nyumba ya wana, ni yeye Yule ambao anaweza guzwa na hisia za hali yetu ya dhambi ya kibinadamu. Anatambua udhaifu wetu, majaribu zetu, magumu zetu, kwa wakati wake wa kimwili alipitia majaribu samiya na magumu.
Swala linaibuka, Yesu angekuwaje na ugumu, sawa na ule mama angekuwa nayo? Angejaribiwa aje kwa kila jambo kama Mama? Yeye hakuwa mama. Angejaribiwa vipi kama Baba? Angejaribiwa aje kama mlevi, au kwa njia ya binadamu aliyeanguka, wakati alikuwa kamilifu?
Tunajibu, mtume hakuna analenga majaribu ya wana adamu walioanguka. “Alikuwa anaongea kuhusu, viumbe vipya. Hatujui aina ya jaribu iliokuja kwa bwana wetu isipokuwa yale yaliyo mkumba kama kiumbe kipya. Alijaribiwa kama tunavyo jaribiwa sisi kama viumbe vipya ndani ya Kristo. Yeye hakumbana na kila jaribu inyotukumba kwa kuangikiya na vyonyo, hamu na mwenendo, zinayotukujia kama wanachama kwa uzawa wa wana adamu. Hizi si majaribu kwa kiumbe kipya. Wanaoorodheshwa chini ya bango hili la Yehova, wanastahili kupenda utakatifu na kuchukia uovu. Hii ilikuwa wazo wa Bwana.
Yeyote ambao kuwa wazo lake upenda mabaya na kudhibitisha ubaya, wanatoa ushuhuda tosha ya kwa hawana wazo la Kristo, na tena hatakuwa moja wapo wa wateule, sisi ambayo hutajua hapa, kwa sababu majaribu hayata fanana na ile iliyo zaliwa na roho kuwa viumbe vipya wanao, kama ilivyo na Yesu. Walioishi kwa dhambi hapo awali, wanastahili kufahamu hali yake yakutopendeza. Wale ambayo wameshiriki dhambini wana shahidi tosha ya hali yake ya uchavu, ya hatari na uaribifu, kwa hivyo tumekwepa dhambi na kuja kwa familia ya Mungu na hatutaki kurudi kwa kifungo, kama umbwa kwa tapiko lake, au kama nguruwe kwa matope. Hayo si majaribu yetu. Majaribu yetu yamejificha ngumu kutambua.
MAJARIBU YA UBINAFSI
Tunapo tazama maisha ya Bwana wetu baada ya kubatizwa pale Yordani, tunao jinsi ambao alijaribiwa. Moja wapo ya majaribu ilikuwa na kulingana na matumizi ya nguvu alilopewa na Mungu. Alikuwa ana hisi nja kabisa, na alikuwa katika mahali ambapo chakula haipatikani. Maasimu walimshauri kwamba atumie nguvu zake za kiuujiza kwa kuamrisha mawe kugeuka mkate. Hili angelitenda, kwa sababu tunakumbuka mambo hayo mara si moja, kimiujiza alitengeneza chakula kwa halaiki ya watu, wakati mwingine aligeuza maji ikawa divai tamu. Lakini katika hili hali alikataa utumia nguvu zake kuutosheleza hamu yake. Roho wa upendo kwa Mungu ilimwongoza hadi jangwani kwa min jili ya maombi, tafakarina kusoma neno la Mungu, kwa mwanzo wa maandalizi ya kujitoa kwa huduma.
Hatuna nguvu ya kugeuza mawe kuwa mkate au maji kuwa Divai, lakini tuko na fursa na nafasi, kwa mfano, nafasi ya kuongea katika jina la bwana na kusema kuhusu wema wake na mipango yake ya ajabu ya wokovu wa wana adamu. Hizi sote ni fursa kwetu sisi tunao fuata nyayo ya Yesu. Haya majaribu ni kufanya mamba kwa min ajili ya manufaa yetu. Tunajitwika kutangaza ukweli tukiwana wazo wa kupata heshima au mshara kubwa majaribu kama haya huja kila mara kwa wahudumu Mungu- kutumia nguvu hii ya Mungu na kweli wa Mung kwa kujiinua. Kwa upana mtuu yeyote angefanya hayo angelianguka kwa majaribu.
Njia nyingine ambayo Yesu aliweza kujaribiwa ni ule ushauri, kujirusha chini kutoka kina kirefu ya juu ya Hekalu, na kutaka watu wajihadhari kutoka kwake, tendo hili ungemdhibitisha kuwa na nguvu ya juu na ungeashiria kwamba alikuwa chini ya ulinzi wa kipekee wa Mungu. Basi angeunda maonyesho wa kiajabu kwake na angechukuliwa mkuu sana. Adui kwa ukweli na mbinu, kuntumia agano kwa njia mbaya, na kutia bidii kushawishi mkubwa kwamba ameahidi kumlinda katika hiyo njia, kumshikilia iliasijikwaze kwa mawe. Lakini Yesu alikataa huu utumiaji mbaya wa andiko, na akajibu “limeandikwa, usijaribu Bwana Mungu wako.” Alikata kumjaribu Mungu, kujaribu ukutumiaji mbaya wa andiko kwa ahadi , neno lililoandikwa ndio ngome na guvu katika kila jaribu.
Wafuasi wengine wa Kristo wanajaribiwa kufanya vitu kwa roho ya ukatili wa ujinga, kwa kutarajia Mungu atawakingika kutoka kwa matokeo ya njia hiyo itakuwa kinyume na sheria halisi au kuwa komboa kutoka kwa jawabu ya matokeo ya asili ya matendo mengine. Hili litakuwa dhana kwa upande ya watoto wa Mungu. Hiyo ni matumizi ya semi, Mungu atani linda, hataruhusu niumie” kujiada kufanya yale Mungu hajawahi ruhusu katika neno lake na kutarajia muujiza, kuzui wovu kusababisha matokeo mbaya kwa jumla na uovu. Kama tunaweza kudhani kuwa, kuenda inje kwa baridi au dhoruba kali bila kuvaa nguo sawa. Wakati haistahili kufanya hivo, na kuhatarisha maisha yao kupata ugonjwa iliyo karibu, tutafanya maisha mbaya na vitu ambavo hazitakikani, mwili zetu ni ya Bwana na hatuna haki ya kuenda yasiyofaa, ambayo inaweza weka maisha yetu katika hali ya hatari au kifo. Kazi pekee ndio itaruhusu kazi kama hiyo.
MAJARIBU YA UWEPESI
Jaribu linguine ambalo bwana wetu aliipitia, aliangalia ufalme wote wa dunia na akahakikishiwa kwamba haya yote utapewa, utawale, bila yeye kupitia mateso, bila kupitia machungu ambalo lilipangwa na Mungu, kama tu atashujudu na kumwabudu Shetani, na kutambua mamlaka yake kuliko ule wa Yehova, maneno ya Shetani ulishiria kwamba hatahitaji mateso na kujitolea jinsi ambayo Mungu anataka, kama Yesu atamtii vitu vyote vitakuwa sawa na ufanisi. Bwana wetu mpenwa akajibu Niondokee ewe Shetani! utaabudu bwana Mungu wako, na ni yeye pekee utamhudumia kwa kila hatua mbinu yote ya adui zilivunjwa. Yesu alikuwa (amejivaa kikamilifu) neno la bwana na akawa salama kwa njia yoyote ya uvamizi.
Kwa hivyo majaribu yanaweza kutukujia tunaweza kuwa na mtazamo kwamba kama tunaweza kuwa watiifu na wenye maadili mema, lakini tuwe changanya na dunia na Roho, tunaweza endelea sawa na tunaweza endelea kuwa na ushawishi mkubwa kwa watu. Hili ilikuwa ni mjadala wa adui na mkuu. “kunitii mimi, pamoja tutafanya dunia yote ipokee na kuwapatia mibaraka” lakini Yesu hatayumba kutoka kwa njia ya Baba. Majaribu na majadiliano wa aina hii, ukujia watu wa bwana, tunahofia kwamba wengi watakiri wafuasi kwamba wamekuwa uepesi na dunia na mwovu. Mtindo wa kanisa wameangukia mtego wa ibilisi, hii kwa ukweli imekuwa kuwa jambo la kutisha na kutamausha, ya hasara. Majaribu na majadiliano ya aina hii mara si moja akujia watu wa bwana.
MAJARIBU KWA KUJIBU UOVU KWA UOVU
Tunayo pia kujibu uovu kwa uovu na kizuizi kwa kizuizi, Bwana wetu alijaribiwa kabla kusulubishwa, alipo kabidhiwa kwa wakuhani wa kuu, na kupelekwa mbele ya wayahudi waamuzi, hakujionyesha jinsi amekuwa akijionyesha. Uwezo wake kwa ukweli yameweza kuyeyusha na kutia doa kwa maneno ya mwisho kwa tabia ya wakuhani wakuu. Na nguvu ya unenaji aliyokuwa nayo, angeweza kufanya ushawishi mkuu. Pengine alihisi mguzo kwa huo upande, lakini akawa mtulivu, na kuruhusu kuongozwa kama kondoo kichinjioni, nasi tunamajaribi ya aina hiyo- majaribu ya kujibu uovu kwa uovu, kukachonjo na watu, na kupatia watu wanacho stahili.
ENZI YETU YA HURUMA
Tukigundua kwamba hatufanikiwi kila mara kukataa haya majaribu, lazima tukumbuke kwamba tunayo enzi ya nehema, ambayo kwamba tunaweza kujia na kupata huruma na nehema kutusaidia wakati wa hitaji, tunaweza kuja kwa kuhani wetu mkuu. Kuhani mkuu wa kale alikuwa juu na katika hali ya kuheshima sana. Kuhani wetu mkuu ameinuliwa sana. Kusingatia hili, tunaweza shamishika kufika kwanza yey kama mwenye huzuni, asiye weza kukaribiwa, lakini mtume anasema lazima tukumbuke huyu ndio mmoja ambayo ni mkombozi wetu, yeye aliyetufia, na ingawaje ameinuliwa juu na kuketi juu ya enzi ya utukufu, lakini enzi hii pia ni enzi ya huruma.
Kukuja kwa enzi ya mwokozi si sawa na kuja moja kwa moja kwa enzi ya Baba, enzi ya Baba ya Baba ni enzi ya haki, lakini enzi ya Yesu ni enzi ya huruma. Hapa tunaweza pokea, tukiifeli kupata upeo wa juu wa maadii. Lazima tukumbuke kwamba kuhani yetu mkuu aliye na huruma aina ya jaribu ambayo tunayo, tukijaribu kutenda kadri ya uwezo wetu na tumezindiwa na uovu, anajua jinsi ya kutuandalia nafasi na kuwa na huruma mwingi. Lazima tukumbukw kwamba kiti hili la huruma ni la kusudi la kuonyesha huruma kwetu sisi.
Hatimaye tuki gundua majaribu na majaribio bwana wetu juu pamoja nasi akituone na kutushikilia tunapojitahi na kupambana, inatufanya tuwe na nguvu tukikabiliana wakati mwingine, “anajua, anapenda, na kujali, kwa hivyo tusikufe moyo, lakini tumkujie tena na tena, tukikumbuka kwamba yeye hachoki ma hatatufukuza mikono mitupu.