MTAZAMO KWA ALIYESULUBISHWA
MTAZAMO KWA ALIYESULUBISHWA
Mathayo 27:35-50
“Kristo alikufa kwa dhambi zetu, kulingana na maandiko” 1 Wakorintho 15:3
Ingawa aandiko linasimulia, kusubishwa kwa bwana wetu kwa njia rahisi na kwa uwazi, na bila kujaribu kuiweka na kwa njia ya Kitisho, hata hivyo katika njia yake ya urahisi, inajitokeza kama simuliza ambalo linaguza katika historia. Kama hakuwezi kuwa na uandisgi ya kuwasilisha tukiyo la maisha kuiliko. Kwa hivyo vile vile, hakuna kinacho ishiya kwa huzuni kuliko hii onyesho la kweli. Kilichoandaliwa jukwani na aliyemkuu sana, kama onyesho kati ya malaika na wanadamu wa haki na upendo pamoja. Jinsi hii ya kushtusha kwa kwanguka kwa binaadamu halisi ilivyo elezwa na watu ambao walishuhudia kazi ya maajabu ya Bwana wetu, na njia yake ya kujitowa kama dhabibu bila kusita, kwa dhambi zetu, kwa baridi bila shukrani. Hakuna kilichoweza kueleza hili kwa njia mzuri, kuliko tukio la ugawanyaji kueleza hili kwa njia mzuri, kuliko tukio la ugawanyaji ya nguo yake na kupiga kura, iliwapate atakaye toka na sehemu mzuri ya nguo, ambalo liliwasilishwa kwa njia ya kupendeza, ili kuonyesha ukamili wake ambalo uenda ikawa karama, kwa moja wapo wa mama maarifa, ambalo ametajwa kama baadhi ya marafiki zake. (Luka 8:3) kilele tamati ulifikiwa ambapo, hatimaye waligawa mali na wauwaji wake, kumaangalia mateso na kifo chake bila huruma, kuka kwao chini walimwona pale.
Zaidi tunashurutishwa kwa kukubali ushawishi wa habari njema wa Kristo umekwa na mvuto mkubwa juu ya Dunia ya wana adamu, kuzalisha ungwana ambalo linafa kupewa shukrani kama mwelekeo mkuu juu ya ukatili na unafiki wa hali uliopita, hata hivyo, tunaweza tamani kwa haraka kilicho chini ya zulia ya Dunia ya upole na ungwana ambayo ni ya manufaa zaidi, kwa walio kataliwa na kuwekwa kando katika njia halis wa moyo, hapana wengi ambao baada ya kuja kwa ufahamu wa mambo makuu na uwazi, kuliko kilicho shangiliwa na maaskari wa Rumi, baada ya kufahamu mambo maajabu alichotenda kwa kupita mateso, hii ilikuwa kwa niaba yetu, kuliko kujiangusha katika mguuni mwake na kudai, “Bwana wangu na Mkombozi wangu,” na kwa kinyume tenda jinsi maaskari warumi walivyo tenda. “ Kukaa chini walimwaangalia pale?” miyoyo yao haujaguzua na huruma, au hata utoshelezaji wa utu ilikudhibiti nia yao na tabia yao na kuendelea kuwa “ Maadui wa Msalaba- na jinsi ambayo anatangaza “ yeyote asiye name ananipinga”
Pengine ilikuwa kinaya kwamba Pilato akaandika kilicho bandikwa juu ya Msalaba wa Bwana, “ Huyu ni Yesu, Mfalem wa Wayahudi. Alijua watawa wa Wayahudi walipeleka Yesu kwa kifo chake, walikuwa na wivu na umaarugu wake kama Mwalimu (Rabbi), hata kama mashtaka alilowekewa ni “Alijitwika Mfalme, akijidai kwamba sisi hatuna Mfalme bali tuna Kaisari hata kwa hii njia ya unafiki, walilazimisha Pilato kumsulubisha, kwa madai kwamba ni muhimu kwa usalama wa enzi wa Kaiseri kwa hivyo Pilato sasa analipisha kisasi na kutumia silaha yao kwao. Bila kuufikiria kidogo kwamba hii ndio ilikuwa taji ya ukweli ya mtu wa ajabu Kristo Yesu ambao wao walifanya ahukumiwa kifo. Mwinjilisti mwingine anatuambia kuwa wayahudi viongozi waliupinga kwa dhati, lakini Pilato alikataa kubadilisha maandiko.
Ilikuwa sehemu ya madhila ambayo Mkombozi wetu alijitwika na sehemu ya “kikimbe” ambayo alitamani, kiwezekana, imwondokee asinywe, na kwamba alisulubishwa katikati ya wezi wawili kama mwovu. Mtume anasema, tunapaswa kuuchukuwa katika msimamo wa kuvumia upinzani wavu dhidi inaashiria kuwa kututia nguvu (si kupigana ki mwili au silaha lakini) kwa kuvumia sawa sawa ingawaje upinzani na mateso na uwakilishi mbaya.
Ni vyema katika kiunganishi hichi kukumbuka haikuwa uchungu ambayo bwana wetu alivumilia au mateso ambayo ilisimama gharama ya Kikimbozi- ilikuwa ni kifo chake. Angelika kufa katika mazingira yasiyo na vuvugu na matata basi dhamana hainge gharamia ukombozi wetu kikamilifu, lakini majaribu, mateso na upinzani ambayo Bwana wetu alivumia haitakuwa sehemu ya gharama ya kikombozi, zilikuwa za viungo katika hukumu ya Baba kama sehemu ya majaribu, utulivu kwa uvumilivu huu nidhirisho kwa utiifu kwa Baba (Mungu) na utakatifu kamili (Wahibrania 5:8) na tena dhihirisho wa kustahili kwa kuinuliwa juu ambayo Mungu Baba alikwisha anda kama dhawabu, ilikuwa kwa mtazamo, si kwa kushushwa hadhi kwa tabia ya mwana adamu na kifo chake kwa dhambi zetu lakini kwa mtazamo pia wa kikombe cha aibu na madhila ambayo alimimina, kwamba imeandikwa, kwa hivyo Mungu amemuuinwa, na kumpatia jina kuu kwa jina la Yesu kila goti litapigwa, kwa kila kitu mbinguni na duniani na chini ya ardhi Wafilipi 2:9-10.
Inakwaje kwa akili ya kadri katika hali yake ya kuanguka bila kuongozwa na sheria ya hukumu na neno la Bwana, tunaweza yumbishwa huku na huku, hili limeelezwa kwa kambo, kwamba wengi ambao waliinua vyachwa vyo na kuhasi Bwana Msalabani na kupaka tope tangazo lake kwamba alikwa mwana wa Mungu na kwa taarifa na kuheshimu hekalu la mwili wake walikuwa wameshuhudia kwa baadhi ya watu ambao walimwona wakati wa mika tatu na nusu wakati wa hutuma, wengine, pengine waliona “kazi mingi ya maajabu na walikua baadhi ya watu ambao wameandikwa. Wali shagilia kwa maneno lake ya huruma ambayo yalitoka kwa kinywa chake, (Luka 4:22) ambayo alisema “ Masihi akika anaweza tenda makuu kuliko huyu Bwana?” Na walipomwona mawimbi ukamgeukia na sana sana, wakati washawishi wa walimu na madhehebu ma wakampinga, walionekana kuyumbishwa kwa urahisi, tuna hisi kuaibika na udhaifu wa kisasi kilicho anguka kama tunaponyeshwa, lakini bado kitendo hicho bado inainuliwa hadi waleo, hata hivyo watu halisi na waliongozwa wanaweza waakilishi wa ukwei wa juu, kama wakuhani wa kuu na wasomi na mafarisayo wa ukristo wakiipuzilia , wanayumbishwa umati, hata hivyo walio halisi na maisha ya uheshimiwa ya mitume wa Bwana, Shetani bado anaweza wahonga washuhuda wa uongo, na kupata uheshimiwa? Mitume kwa uongo na dhihaka lakini hii ndivyo tunatarajia. Bwana wetu alisema, imetosha kwa wafuasi kwamba yeye awe bwana na mtume kamla bwna wake, kama wangeita Bwana wa nyumba Beelzebubu, ingekuwa mara ngapi kuwaita watu wa nyumba yake (Mathayo 10:25) Alituakishia kwamba Baada ya kusema mabo yote ya uovu dhidi yenu kwa uongo kwa sababu yangu, shangilieni na furaha tele kama sababu dhawabu yenyu mbenguni ni ya juu (Mathayo 5:10-12) hatimaye hili linatimizwa kwetu jinsi wanabii wanvyo tangaza pia, madhila yote ambazo mlidhulumiwa zote zimeniangukia” (Waramu 15:3)
Madhila ya wasomi nay a wafarisayo yalionekana wazi kama juu kushinda wote, wakati wanavo dunisha ofisa ya mfalme Yesu, na nguvu na imani katika mbinguni mwababa na kudai uhusiano kwake, walimshurutisha kukiri kwamba nguvu ingeteremka ye chini kutoka msalabani, laity wangu kwa ufupi hawa wachanga, kwamba alikuwa wa manufaa kwa mwana wa adamu kuteseka kwa mambo kamla hayo- iliaingiye katika utukufu, kwamba Masishi hangeweza kama na nguvu ya kuukomboa isiraeli kwa mkono wa Shetani na mauti, ila tu kwanza kukubali kutoa mhanga maisha kama kikombozi kwetu, ni shukrani gani tungehisi kwaba mpendwa mkombozi, angeongozwa na upendo na kulipisha kisasi, lakini kwa kusudi la Baba na neno, ili kwamba angevumilia, mateso ya watesi wake kwa upole na kunyenyekeza nia kwa nia mpango wa Baba aliyembinguni.
Na vile vile jinsi sehemu ya mwili wa Kristo yaliyo hai yanakosa kuchukuliwa kwa uzito, si kula Dunia lakini haswa kwa wafarisayo wa hadhi ya juu wa sasa. Kweli jinsi alivyo nasi pia kwa Dunia”.
Dunia haikumwelewa mateso na majaribu ya Bwana na hawange uona umuhimu wa kujitolea kwake , lakini walichukuwa hizi kama alama kutohuruma kwa utukufu, jinsi inavyo nakiliwa” Tulimwona kuteswa na kuchapwa na Mungu utakasa watu wake wana kibali chake ya kiroho lakini si kwa Baraka za muda, watu wadunia wanakosa kuelewa. Hawaoni Baraka war oho halisi na vibali vya kiroho ambazo tunatafuta hupatika kwa kujitolea kwa kibali cha dunia lakini wote ambao wako katika hii kundi la kujitolea, na wanakimbia katika hii mbio ya taji wako katika wito wa juu. Na mtume, ushangilia kwa mateso ya sasa, na kuhesabu msalaba wake, lakini kama upotovu na kupotea ili kwamba waweze kushinda Kristo na kupatikana ndani yake- watu wa sehemu ya mwili na Kristo ulioinuliwa.
Haikuwa mshangao kwa wezi wawili kila moja pande yake (Mkombozi) waweze kujiunga na wengine kwa kuwoonea huruma, neno ndogo ya huruma hati hivyo huruma ambao alipokea katia hali hiyo, ilitoka baada ya kwa moja wa wezi hawa.
Kusulubishwa kwa Bwana ulitekelezwa saa wa sita, saa tisa alfajiri jinsi inavyo elezwa katikaa uchapishaji, kwa hii ilikuwa saa ya madhabibu ya asubuhi na kifo chake ilitokea saa sita baadaye, saa tisa adhuhuri ambayo kulingana na wayahudi, wanavyi ichukuwa ilikuwa saa wa tisa. Hii pia inawasilishwa sawa sawa katika chapisho, toleo lakila siku ya jioni wa dhabihu ilikuwa na giza, lakini kwa giza, sisi hata hivyo hatutowi mtazamo kwamba ilikuwa giza totoro, lakinu giza jinsi inavyo elezwa, hata hivyo ilikuwa giza kichokuwa na kifani, kwa sababu ilikuwa wakati wa mwezi mzima, pito la jua kwa muda haingewezekana.
Ilikuwa wakati huu ambao bwana alitamka maneno haya machungu, Mungu wangu, Mungu wangu mbona waniacha “ambalo aliuchukua, kwa upole wa ajabu, wapinzani waovu dhidi yake, na kutelekezwa na Petero na kwa neno hilo wafuasi wake wote walimtoroka, wakati wake wa mwisho alishinda kushangiliwa na vigelegele za maadui wake, wakati ulipo wadia wa ushirika wa baba kwa roho, nah ii ilionekana kupitia neno kwamba damu na maji silitoka baada yam kuku aliochomwa kutoa kidonda baada ya kifo chake.
Itaweza ulizwa na wengine kama au hili ilikuwa hali ya kuangukia kwa imani ya bwana au ilikuwa injili ya kujiondoa kwa kibali cha Bwana na ushirika. Hata hivyo tunashikilia kwamba filisofia ya mada, ina dhibitisha hayo mambo ili kuwa muhimu kwa sehemu ya Mateso ya bwana wetu kama mbeba dhambi. Faini ya dhambi ya adamu haikuwa dhambi pekee lakini, kuzidishiwa kando naye kuondolewa kwa kibali na ushirika wa utukufu, vile vile wakati bwana wetu alipochukua nafasi yake na kuteseka kwa niaba yake, haki kwa wasio haki, iliaweze kutupatanisha na Mungu kupitia damu yake ya bei, haikuwa muhimu tu kwa kufa kwa niaba, lakini ilikuwa muhimu kwamba apitie mzima mzima, kutengwa na awekando na babake ambayo ilikuwa sehemu ya hukumu ya dhambi ya adamu. Hakutengwa na baba yake kama mtuu wadhambi, kupitia miaka tatu na nusu, lakini wa msuko suko ulikuja msalabani, hamkini, muda mfupi, lazima akataliwa na ushirika wa baba, na hatimaye afe kama mwenye dhambi kama dhambi zetu ili kwamba “ kama ilivyo kuwa kwa bina adamu kifo ilikuja na binadamu iwa kufufuka kwa kifo 1Wakorintho 15:21-22.
Mathayo hajarekodi maneno ya bwana alipolia Alilia tena kwa sauti ya juu lakini tunazo katika Luka na kwa Yohana. Alisema, “imeisha kwako Baba nalikabidhi roho yangu.”
Walimu wenhi wauwongo wanatuambia hapa na dhabihu ya dhambi ambalo lilihitajika, na hakuna ambalo lilitolewa, lakinu ushuhuda wa maandiko ni dhahiri kwa hili jambo kwamba, bila dhabihu, bila kuondolewa kwa dhambi, hakuna ukombozi wa dhambi. “ dhambi wa bwana wetu unarejea wakati alipofika mtaani kimwili yapata miaka thelathini, alipomkujia yohana moja kwa moja pale Yordani, na kubatizwa kwa inje ina ashiria utakosa kamili kwa kuake hadi kifo chake kwa kufanya nia ya Bwana.
Kujitolea kwake kama dhabibu ulianza ukaendelea kwa kweli hadi mtu wa mwisho. Baada ya kuvumilia hadi mwisho, madhila yote aibu zote na hatimaye kuondolewa kabisa kwa ushirika na baba, hi ndio ilikuwa wa mwisho, Bwana wetu akaonyesha kwa maneno “ imekwisha kazi yake ilikwisha, dhamana wa ukombozi ilikwisha, mateso yote yalikwisha, alimaliza kazi ambayo babake alimpatia, hata ikiwa ya madhila na aibu yote yalijumuisha sehemu ya kazi hi imesalia na bado kumalizwa, kutaja kazi ya kubariki familia wote wa dunia, kutiwa rehema ya kibali na fursa ya uzima wa milele, kuandaliwa kwao wenye haki kupitia dhabibu wa adhambi.
Aliachilia roho, ambayo ni roho, roho gani? Hakuachilia roho wake wa kimwili, kwa wakati huu hakua na mwili wa kiroho. Miaka thelathani na nne kable aachilie hali yake ya kiroho na utu, iliaungane na utu asili, kupitia kwa mamake maria- Roho wa uhai ambayo ilikuwa yake, baada ya kubadiliswa katika hali kibinadamu, alifurahia na kufanya mazoezi ya roho huu kama uigizaji wa sheria katika hali yake ya kibinadamu. Kwa muda wa miak thelathini na tatu, sasa alikuwa na anai ashilia kwa kifo- kwa kauli mmjoja. Mwili halisi ambalo lilisulubishwa, ilikuwa isiwe yake, na jinsi ambao mitume waitangaza, alijichukua yeye mwenye mfano wa mjakazi, kwa mateso wa kifo, lakini si kuuchukua mfano wa mjakazi hadi milele. Ahadi ya Baba ilikuwa ni kumwinua pamoja naye hata katika utukufu wajuu sana kuliko ile alikuwa nayo na Baba, kabla ya dunia kuumbwa; hiyo ilikuwa ni utukufu wa kiroho na si utukufu wa kibin adamu. Aliwacha hadi ya kiroho, ambapo aliwekwa kimwili na akaishi baina yetu” alitumainia kwa baba, kwamba baada ya kumaliza kazi alilopewa kufanya, na stahili kupokelewa juu kwa utukufu- ali ya kiroho, hatimaye akaambia wanafunzi, “kama mwana adamu atapaa juu mahali ambapo alikuwa hapo awali?”
Jitihadi hii ya roho wa Baba wa kujali inaashiria nayo kwamba, alifahamu kikamilifu kwamba kifo ni nini- hali ya kujitenga- nab ado alikwa na ujasiri kwa baba, kwamba hataruhusiwa kusalia milele kwa mauti, lakini atapewa tena nafasi ya kufuka, roho wa uhai, ambayo sasa ameachilia kwa uhiano wa kusu la baba, alifahamu na alitangulia kueleza wafuasi wake, kwamba atafufuka kwa wafu baada ya siku tatu, alitambua ya kuwa roho wa uhai, ni muhimu, utu wake ilitoka kwa baba, awali na ilikuwa jambo kuu, kwa nguvu za Baba na kutunza, na kujua kwamba Baba alimwahidi kwa hai tena, hapa inaashiria ujasiri kwa ahadi yake. Na ujasiri ulijazwa kwa kamili, Mungu, alimfufu kutoka kwa wafu, na kumwinua ki mwili, si juu ya wanadamu lakini juu ya malaika na watawala na nguvu, “katika hali ya juu sana war oho asili, kutaja, utuku asili.
Wazi wazi kama ingeweza kuonekana, huu ni ule makaribisho ambalo imeanda mpaka kwa Kanisa la injili waleo, ilikwamba waweza kushirikiana na bwana kwa mateso yake na kushirikiana na bwana kwa mateso yake, “na hatimaye kushirikiana naye katika utukufu kama washiriki wa utukugu asili na utukufu, heshima na kimwili, juu zaidi ya heshima na maumbile ya malaika, ili hiyo ni nafsi juu ya kiumbe kamilifu. (2 Petro 1:4; Warumi 2:7 Zaburi 8:5) ka mtazamo yote, tunaweza inua kila moja wetu, “tukiya wacha kando mizigo na tukishindana kwa utulivu, mbio ambalo liko mbele yetu kwa injili, tukimwaangalia Yesu, mwanzilishi wa imani, hadi atapokuwa mtamatishaji wake.

- Aliteseka zaidi kwa ajili yangu, zaidi kuliko ufahamu sasa
- Machungu mabaya alimimina kikombe cha majuto
- Alijitwika, Alijitwika yote kwa niaba yangu nami nimempatia neet