WANYENYEKEVU NDIYO WATAKAO URIDHI UFALME

R1766 Only the Humble Shall Share in the Kingdom
Mathayo 18:1-14 (Mariko 9:33-50, Luka 9:46-50)
Ujumbe muhimu- Si takwa la Baba aliye mbinguni, kwamba hawa wadogo waangamiye.
Kiini cha somo hili ni ile inayostahili, umakinifu kwa maombi ya kile mwana wa Mungu, na haswa wale wote ambao kwa njia yoyote wanajaribiwa kwa matamanio na mavurutano au utukufu wa bure wa huduma wa Bwana. Ijapokuwa unyenyekevu wa mitume ya Bwana umewekwa wazi katika maandalizi ya somo yao, mwanzo wa kosi yao, wao wote kwa upana, walishawishiwa wazo la kale, ambayo ilikuwa mada kuu ya mafundisho ya Kristo ilikuyaondoa kabisa.
Baada ya tukio ya kipekee katika mlima wa mabadiliko na uteuzi wa wale watatu (3) na Bwana, kwa hilo tukio, swala la umaarufu wa ufalme ilikuwa wazo asili ya akili zao, hatimaye ikapelekeya mzozo uliyo dhihirisha ubinafsi baadhi yao. Ilikuwa ya kuwarekebisha, upotovu na kuonyesha mavurutano katika roho ambayo ni lazima iinuke katika ufalme wa Mungu, kwamba Bwana wetu aliutafuta fursa ya kuzumza na wao kuhusu hilo mada. (aya 1 na Mariko 9:33,34). Alikuja Kapernaumi, kwa katika nyumba akauliza, Nini hiyo mnaozozana baina ya nyinyi wenyewe? Lakini wakanyamaa (hivyo basi si kwa ubaya, lakini kwa kuonyesha heshima kwa Bwana, lakini kulikuwa na unyamavu wa muda mfupi uliyoonyesha mamadharau) kando na hiyo walizozana baina ya kuhusu nani anayestahili kwa mkuu katika ufalme wa mbinguni? Halafu likafuatiliya somo muhimu kwa mitume, ambao waliandamwa kwa wazi kwa majaribu makuu, ya kazi na mavurutano baina yao wenyewe nafasi kuu katika hesabu na mioyo ya watu wa Mungu, utunzi wa ufalme baina ya wote ambao wangekuwa viongozi na walimu washahidi wateule wa Mungu. Na Bwana angefanya washindi wa ukweli pamoja wachanganuzi wa nguvu wa roho wa kubadilisha moyo na kufinyanga tabia kwa kuiga nehema ya aliye juu lakini kama somo ilikuwa na muhimu kwa mitume katika nafasi yao kama viongozi, pia ni wa muhimu kwa kanisa yote, wote ambao ni wakuu na ambao hawakumbwi na hatari ya majaribu ya mavurugano na matamaniyo.
Aya 2-4; Mariko 9:35 “ Aliketi chini, akawaita wafuasi kumi na wawili na akawambia, kama kuna mtu anaye tamani kuwa wakwanza (na kionyesha roho ya mavurugano) yeye atakuwa wa mwisho na mtumishi kwa wote”. Roho ya upinzani ambayo ni ya kinyume na roho ya upendo na unyenyekevu lakiza itambulisha wote ambao watahesabiwa wenye haki wa ufalme, taarifa hi inaonekana kama wazo aandamizi kwa jambo hili, kama huyo atafanikiwa kuingia ufalme lazima kwanza aondoe hiyo dhana potovu kabisa; na hata kama iliweka ndani au kupaliliwa, itaweza chukua muda na nidhani iliikabilike, wakati wengine wengine ambao hawaja hadhirika sana, wanaweza ingia kwa haraka maendeleo ya utu wa nehema na akili ya mwenendo sawa kwa manufa na usaidizi na huduma uliyo inuliwa, basi ni muhimu kuwa wacha chini ya nidhamu moja, kwamba kuwa mwisho na mdogo badala ya kuwa wa kwanza na mbele, hivyo kutazamwa, kwa kusema, anaye nyenyekea atainuliwa, na anayejiinua atashushwa chini (Luka 14:11) inaonekana kama taarifa ya filosofia ya torati ya sheria ya juu, kwa hivyo basi jinsi mtume Petero anavyo tuhimiza (1 Pet 5:6) tunyenyekee chini chini ya mkono wa Mungu, ili kwamba atainuliwa kwa wakati wake.
Alichukua mtoto akamweka mbele ya, baada ya kumchukua mkononi mwake, na akasema, ukweli nawaambieni (jinsi hii inapendeza na halisi ili kana kwamba angewambia, natamchue funzo hili moyoni na kutafakari juu yake sawa sawa) ila tu mkibadilika (kama msipo gairi kikamilifu kwa hii roho ya kujitakia mambo ya uadui) na kukuwa kama watoto wadogo, hatuta (ingia) kwa (zaidi kwa uku)katika ufalme wa mbinguni. Hatimaye, jinyenyeke kama hawa watoto wadogo, waoni wakuu katika ufalme wa mbinguni. Tabia spesheli ya watoto wadogo ni kama, uepesi wa roho, upole, kwa wa kweli, huru kwa matamanio, na vurugu, imani, kuaminiwa, upendo wa nidhamu, watu wa kufunzwa, tofautwa kwa jamii na upekee na maarufu kwa maoni na bila ulafi.
Udhabiti wa roho kama hiyo baada ya uwingi wa nguvu ya utotoni kupanuka na kuletwa duniani, na vivutio, ushawishi, matamanio, tumaini na kadhalika, katika akili ya mwanadamu, baada ya wateule kuinuliwa, na kuvutio ya maisha, anaanza kugundua kwamba yuko kati ya marika, na kuendelea kwa kupata kupata maarifa na maendeleo ya ujuzi na uwezo kuliko wale wengine, kwa kweli ushahidi wa kujidhibiti na kujiheshimu ambayo uongelea tabia ya heshima.
Kuwa na roho kama uashiya (1) kwamba mwanadamu hajimimini sifa, bali kwa kulinganika na uppuzi ya utotoni, kufanya pakubwa kuendelea na kutafuta maarifa na maendeleo ya taaluma yake, pengine zaidi wenzake wengi, anajiona pekee akiwa amejiendeleza kwa ufuo wa bahari uliojawa na ukweli, na kama amepita na kuzidi wengine kwa sababu ya mwendo, nani kwa sababu ya upeo wa mbele wa kuzaliwa na masomo ambayo ni hisani ya nafsi ambayo angesaidia wengine wote wapate. Anajiona kama vile Mungu anavyo muona kama mtu wa upungufu sana, ambaye ung’ang’ana kwa udhaifu, ili atoshane kwa viwango vya wengine wakamilifu, na kugundua kwamba jitihada zake bado zinamwacha mbali na viwango vya alama ya kuwa kamilifu, kwa hivyo anashushwa, kwa kuzingatia kwa kuanguka kwake, au kufura kujilinganisha na wale ambao wako katika viwango vya chini ya upeo.
(2) Inaashiria uzingativu wa upendo nyororo kwa wanadamu ambayo haiweza ringa pekee yake au kujifanya kinyume dhidi yao. Inaonyesha uoga wa masomo na ukosefu wa maendeleo ya ujuzi na nehema, huruma na umuhimu wa kutafuta usaidizi kwa wasio elewa wanao, na kufunika ukosefu au udhaifu, kuliko kuaniki upuuzi. Ijapo inafurahisha kutambua wema na ujuzi wa usomi kwa usawa, na kuilipa kutokana na tofauti wa upeo wa juu, haina husiano wowote, viwango vya bandia vya ubora, ambayo dunia inainua, lakini kujipima na viwanggo vya juu vya utakatifu. Inaisha kando na, mbali sana na roho ya dunia, juu ya bidii, matanio, fujo, tamaa, ubinafsi na kwa lugha ya Paulo, imejifunza, mambo yoyote ya kweli, mambo yoyote yaliyo staha, mambo yoyote yaliyo na sifa njema, ukiwapo wema wowote, iwapo sifa nzuri yoyote yatafakarini hayo (Phil 4:8) na msijifikirie kwa wa juu, lakini kwa upole (Warumi 12:3).
Kama hiyo Bwana wetu anatanganza lazima iwe roho kwa wote ambao watakao ruhusiwa ufalme wa mbinguni, Yule anayeipaliliya zaidi atakuwa mkuu, si yoyote kina kuingiliana kati na sheria au adhabu ya kifilosofia sheria ambayo upelekea unyenyekevu na ukuu, nayo pekee uleta mafanikio makubwa ni upendo wa huruma na upole kamahi ndio itakuwa muhimu kwa hi upande “ uteule wa kiufalme” ya kizazi hiki cha milenia kushirikiana na Kristo kwa kazi kubwa ya kuwainua walioanguka na kuwaleta juu kwa ukamilifu wa uwanadamu.
Aya 5 “Na yeyote atakayewapokea (kutambua na kuonyesha ukarimu) mojawapo ya huyu mdogo (aliye chini na unyenyekevu ya watoto wa Mungu) katika Jina langu ( kwa sababu ni wangu) amenipokea Mimi, hiyo ndiyo ni dhamana ya Mungu kwa watakao shusha hadhi yao na kunyenyekea. Jinsi anavyo saidia hata wadogo kujua pendo lake!
Aya 6 “ Lakini yeyote atakayepotosha (kuwa danganya na kuwa ongoza kwa njia usio wa haki) na ukweli , Roho wa kweli au, au utakatifu wa uzima) moja ya hawa waliyoniamini ingekuwa vyema kwa kufungiwa jiwe kwa shingo lake na kuzamishwa ndani ya bahari ya kima kirefu.”
Onyo hili lazima litolewe; kama mtu atakapogundua kwa moyo wake mwenyewe upotovu huo, akoma na awache kukosa na atafute uso wa Mungu na kumwomba ilikuwekwa upya Roho wa haki ndani yake.
Aya 7 “ (dhiki kuu – siku ya taabu ambayo haija shuhudiwa tangu mataifa yuaja). Duniani kwa sababu (dhambi) za kusudi, (dhambi dhidi ya ukosefu wa mwanga kuapuuza, kwa sababu moyo ya umejaa mambo yasiyo ya haki, lakini ole! Kwa huyu mwanadamu, kwa sababu ya dhambi yake.
Aya 8,9 Maisha ya baadaye, ambao Mungu ameandaa kwa min ajili ya dhambi, laana, najisi, hukumu wa binadamu ni kubwa haipimiki kwa dhamana, itagharamia dhabifu kwa kupokea na kujistarehesha kwa uzima, hata kama itagharimu jicho, mkono au mguu ili kwamba uweze kuuridhi uzima wa milele, itakuwa wa gharama wa chini kuliko kuwa na vyungo vyote vya mwili na kwenda jehanamu. Bila tashwishi msikilizaji anavuta somo hili kwa matumizi kwa maswala ya maisha na kuelewa Bwana kwamba itagharamia pakubwa na kujinyima starehe na raha na ladha, kinacho pendwa kama mkono wa kuume, dhamani kama jicho, cha huduma kama mguu, kuliko kuanazo maisha na kwenda kwa moto –jehanamu kifo cha pili.
Aya 10 “ Kuna maakini usiyapuuze (kwamba haujadharau au kuhukumu) hama wadogo. Nami nawaambieni huko mbinguni malaika kila mara uubeba sura ya Baba yangu aliye mbinguni” (wao wote wanahudumu roho waliotumwa kuhudumia watakao ridhi uokovu (Hebrews 1:14 (Aya 14), si kusudi la Baba yetu aliye mbinguni ili hama wadogo waangamie, tangazo ni wazo kwamba hukumu na mtego ya watu hawa utaangaliwa na Bwana, na waovu kwa muda mchache watatimia hukumuni. Ijapokuwa Mungu hatakubalia wateule kupitia dhiki, itakuwa ya kuwapitisha kwa utakaso, “katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao, wale walioitwa kwa kusudi lake” Warumu 8:28
Aya 11-13, Sema kwa upendo wa ndani wa mchungaji wetu kwa kutafuta na kushughulikia wanakondoo wacha tushangiliye na kwa kikamilifu na tutii sauti yake.